It's official: Russia is heading into recession

Ndugu yangu wengine tumesikiliza hata speech yake. Russia ina hali mbaya kwa sasa na Putin ameshawaambia warusi kuwa wajiandae kwa hali ngumu kwa muda mrefu. Ana kichwa ngumu kama mugabe.

Ningeshangaa kama ungekosena hapa, Mkuu hari mbaya ni kila mahari Huko Ulaya nako hari ni mbaya France na kazalika hadi Ujerumani halafu kitu ambacho hamjajua ni kwamba Urusi uchumi wake ukishuka it means ni msiba mkubwa kabisa kwa Ulaya, Ulaya wanafanya biashara sa Mabilioni na Urusi hivyo kuna watu wana furahia lakini madhara yake hawajui kwamba yanakuja hadI bONGO
 

Kuna watu hawajui Russia naye huwa ananunua Mafuta,
 
MKUU ELUNGATA nakubaliana na wewe US kushirikiana na Saudi kuidondosha Russia kama ilivyofanya zamani ila kuna business deal ambayo Saudi anataka kufanya na China baada ya kusign ile energy deal.Tukumbuke kwenye biashara hakuna rafiki.And both parties want the deal to be win-win situation.

It is already rumored that Russia is trading oil for gold, maybe the Saudis have seen this and a light bulb went on for them!!Is this a case are the
SAUDI's are abandoning the petrodollar? I obviously do not have the answer but I will ask another question or two. Is it possible China has swayed Saudi Arabia by promising to pay them with something real? Like gold? Could this even be possible?

Would Saudi Arabia accept the paper of another sovereign in the place of dollars? In my opinion they would …if they are able to see the writing on the wall. Has China let the Saudis in on their future plans for their currency? Maybe a gold backed yuan? A gold backed yuan which is backed by or one that is ratio pegged to gold? Does China have enough gold to do this? Let me say this, China very probably has as much gold (or much more) as the U.S. “claims to have”. Would this be enough gold? The answer of course depends entirely on what “price” they value or peg gold at. At “some price”, China can go to a 100% gold backed yuan, any country can …if they have gold and the international price is high enough.

I believe it is much more likely this is a Chinese/Saudi partnership play where they both “win” and the U.S. is left out in the cold. This would also be a terminal event for the U.S. petrodollar and a “polite” way for the Chinese to move center stage. If this is so, we will be watching the formation of a “new world order”, just not the one the Rockefellers had in mind!

NI HIVI WAKUU SAUDI anataka Gold but remember the gold will be in Chinese currency yuan in exchange for energy.
Kumbukeni China has accumulated tons and tons of Gold na tayari kashampita USA in gold reserve.
The shocking news is CHINA continues to buy more Gold while continue producing at home.SO IT IS BELIEVED CHINA WILL USE THE GOLD IN THE FUTURE(may be years come) TO trade globally.
Pia Russia has accumulated alot of gold.

I see some of US aliies are now going against Petrodollar as recently CANADA & QATAR signed a currency Swap deal with China.

ARE WE NOT SURPRISED recently UK(London)became the first western country to add Chinese currency in their foreign reserve.!???

US alishirikiana na Saudi kuidondosha soviet union year 1980,bei ilishuka hadi $10 per barrel,I believe kwa dunia Sasa hivi ilipo bei haiwezi shuka tu $10 otherwise the whole world will collapse & go bankrupt.
 
Chasha acha mbwembwe ndugu yangu Uchumi wa Russia unalegalega kwa sasa kwasababu ya vikwazo vya ulaya, hivi unafikiri ulaya wapo tayari kujikomoa? Russia kwa ulaya ni kama india, Brazil na vietnam tu, hawa wote wanaexport asilimia kubwa commodities tu. Kwahiyo jiandae maana najua ulikuwa mnazi wa warusi toka enzi zetu. Uchumi wa Russia kuna kipindi ulikuwa mahututi sana na bado ulaya ilikuwa na uchumi wenye nguvu. Kwa kukuongezea tu Russia mifumo yake ni dhaifu bado ndio maana Rushwa ni kubwa kuliko hata Tanzania na ukija kwenye masuala ya per capita income, Russia imezidiwa hata na Equatorial Guinea.
 

Ameshaanza kupata matunda aliyoyataka
 

Rekebisha hapo ulipo andika hari neno sahihi ni hali.
 
Mnasahau Russia ana viwanda vingi na technolojia kubwa kubwa..sio kweli kwamba anategemea Natural resources pekee...lakini pia habari hii ni ya kijinga imetungwa na watu wa CNN kwasababu zao wenyewe ni upuuzi tu...
Mkuu umeamua kubisha tu kwasababu mapato ya gesi na mafuta ndo yanamchango mkubwa kwenye uchumi wa Russia. Ndio viwanda na technology wanayo lakini contribution zao kwenye uchumi wa russia haifikii ya gesi na kiwese.
 
Huko North Dakota watu wanamake money acha. Wengine wanalala kwenye magari. Chezea dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…