Its obvious! Kitila Mkumbo 'anateketea' ndani kwa ndani!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,786
Ni dhahiri kuwa Kitila Mkumbo anateketea ndani kwa ndani! Hii ni baada ya 'kuuza uhuru wake wa kutoa na kupokea habari' kwa nafasi nyeti serikalini.
Sasa anatamani kufunguka ila anakumbuka kiapo chake kwa Rais kuwa atatumia mda wake uliobaki katika kuitetea na kuzijibu hoja za serikali...
Kitila Mkumbo, napenda kukupa pole kwa hali uliyo nayo. Najua unapitia kipindi kigumu sana katika maisha yako, lakini baada ya mwaka mmoja hivi, utakuwa umekwisha zoea hiyo hali.
Hii hali kwa kiingereza inaitwa 'culture shock' na huwa inaisha baada ya muda mfupi tu. Kwa hiyo, vumilia na endelea kutekeleza sera za serikali kama zilivyoainishwa kwenye ilani ya CHAMA!
 
Back
Top Bottom