Its My Wedding Annivesary

Hongera DOGO! Ndoa ni Mungu mwenyewee anatupa na hasa mnapo match katika masuala yenu ya ndani na kujenga familia yenye upendo! Mimi namuomba sana Mungua nipe uzima, kwani Novemba hii na-clock 20 yrs na darling wangu! Hatujawahi kwenda kwa padre wala kwa mshenga! Sijawahi kumrushia ngumi
 

NM 20yrs sio mchezo,

Hivi karibuni MC atasikika akisema.."sasa ni wakati wa kutoa nasaha kwa maharusi" .........hahahahahahaaaaa!
 
hongera mkuu miaka 11 si haba!
me ndo kwanza nataka kuingia miezi ya hivi karibuni naomba mungu anitangulie
kwa kweli mana vikwazo ni vingi ninavyovishuhudia kwa watu wangu wa karibu wanavyoyumba na ndoa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…