ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Karibuni kusherehekea na mwenyekiti wenu siku niliyoliona jua.
heeeeeeeee mkuuu nilikuwa wapi sijaona kitu hichi jamani nimepitwaje
mie mama shughuli na madikodiko mwenyekiti umeshindwa kuniambia kwa phone?
ok awali ya yote hongera sana ingawaje inimechelewa kukupongeza nisorie
Mungu akuzidishie wingi wa siku na uitwe heri
Ahsante sana best wa mimi, pole ya mwaka huu ntakutumia kadi kabisaaaaaa. Tuko pamoja.