It's more than pain

Atuganile Mmari

Senior Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
158
Reaction score
253
Mwishoni mwa mwaka jana familia yetu ilipata furaha na kuyashuhudia matendo makuu ya Mungu ni baada ya dada yetu aliyekaa kwenye ndoa zaidi ya miaka 10 bila mtoto kubarikiwa na kupata mtoto.furaha hii imeyeyuka ghafla baada ya miezi 6 tu mtoto ameugua na hatupo nae tena.ameondoka binti yetu mzuri, ndo basi tena hatuponae kabisa,ameondoka!!!!




"Pumzika kwa amani bby girl wetu"

"Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe"
 
Poleni sana Mungu ana makusudi yake
 
Poleni sana. Hakika inaumiza sana. Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…