Acha kabisa mkuu natamani anko magu waache itikadi amtumie huyu mzee katika mipango nchi. Huyu ndo anafit kwenye ujasusi wa kiuchumi na viwanda hii ni hazina sema serikali haijagundua inaendeshwa na pumzi ya ushikaji.
mbona uzi haulandani na maudhui ya head line na uchangiaji. Moderator fanyeni mambo bwana mbona mmeunganisha uzi mbili ndani?
Au ndo stoper na mtu mbili ndani ya track moja teh teh.
View attachment 349729
Makocha ambao watangaliwa na kufuatiliwa kwa ukaribu sana msimu ujao katika EPL ni hawa wawili....naamini msimu ujao utakuwa msimu bora kutokea katika EPL
mbona uzi haulandani na maudhui ya head line na uchangiaji. Moderator fanyeni mambo bwana mbona mmeunganisha uzi mbili ndani?
Au ndo stoper na mtu mbili ndani ya track moja teh teh.
uhodari wa mourhino kwenye SOKA ni sawa kabisa na uhodari wa Lowassa kwenye SIASA. ndio maana Moderator kaamua kuunganisha hz nyuzi. asante sana baba Moderator kwa kutambua mchango wa Lowassa kwenye siasa za Tanzania.