Unataka kumroga ili asiweze ama?Swali la kujiuliza ni je ataweza? Maana kusema ni jambo moja na kutenda ni jambo jingine
Kwenu sisi tupo aje tuNmemtazama Jana ITV wallah Hanna kitu pale in pumba pumba pumba labda kama atafanyia monduli tu but huku kwet hatutak pumba
Unafikiria niniSwali la kujiuliza ni je ataweza? Maana kusema ni jambo moja na kutenda ni jambo jingine
Swali la kujiuliza ni je ataweza? Maana kusema ni jambo moja na kutenda ni jambo jingine
Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Chanzo: Mwananchi
MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
Uko kwenu mnakunywa maji ya kilimanjaro tu? make inaonekana hamna matatizo kabisa ya kijamii....au nyie kwenu siasa ni uadui!Nmemtazama Jana ITV wallah Hanna kitu pale in pumba pumba pumba labda kama atafanyia monduli tu but huku kwet hatutak pumba
Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Chanzo: Mwananchi
MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
Ningeshangaa kama ungemsifiaNmemtazama Jana ITV wallah Hanna kitu pale in pumba pumba pumba labda kama atafanyia monduli tu but huku kwet hatutak pumba
Lowasa ni Musa Wa Tanzania, hutaki saga chupa unyweAcha kufananisha giza Na mchana.!