ITOKEJE...customized/personalized plate namba

Mkuu hata hapa kwetu nadhani ipo, kuna siku nishawahi kuona gari yenye maandishi "MUGANYIZI 1"

Hata mimi nilishaona MZIRAY so iki kitu kilikuwepo labda wameona demand ni kubwa.
 
ndoto za mchana, watu hata magari hamna mshaanza kufikiria plate namba.. ngoja nipite mie
 
Yangu itakuwa Gee Cee for Life... kwenye kibajaji changu Kwenye kibodaboda itakuwa Gee Cee still Untouchable.... Na kwenye kitaxi changu itakuwa Gee Cee can't stop loving You....! Milioni 5 kwa miaka mitano sio INSHU!
 
hamna kitu

au nitabandika daftari la mistari midogo na mikubwa au lile la vibox
 
Kibajaji changu.... Gee Cee can't stop loving You! Kibodaboda...... Gee Cee still UNTOCHABLE! Kitaxi................. Gee Cee for LIFE! Waungwana mmeipenda ipi kati ya hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…