Umeongea ujumbe mzito sana mkuu. Sitaki kuamini wanaofanya haya kama wanatambua iliyoyaongeaWAFANYE wafanyavyo ila watambue uwepo wa Karma! Wajifunze kwa Ukiwaona Ditopile Mzuzuri (RIP)! HII DUNIA SII YETU, Usipofanya Haki panapostahili Haki, MUNGU ATAJUA CHA KUKUFANYA! Poleni wazazi, ndugu jamaa na marafiki, Wala msiwalazimishe kuamini kuwa Mkurugenzi kaua, waacheni watengeneze stori yao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi taarifa inasema magufuri anataka kumchomoa mkurugenzi kwenye kesi ya mauaji?MAGUFULI ni mnyama haijawahi kutokea. Hivi ni kweli kabisa anataka kumchomoa Luhende??? Khaaaa....Ina maana kwake kuua ni kawaida....Sasa ndio tunaelewa mengi kuhusu miili inayookotwa kwenye fukwe za bahari...
Hivyo si mkurugenzi aliyeua?Asa kwenye habari mbona inaonesha kweli alikuwa nje...kwa maana kama alipiga alipga akiwa nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Na siku hizi Polisi wanajisikia kweli, tangu wawe wanapewa vyeo wakitukanwa mara nyingine wanalazimisha hata uwatukane!
Mm ningekuwa ndugu. Revenge lazima.. mahakama hazitoi haki. Kama nilijua mkurugenzi atamteteaNdugu wasikubali wampige hata kipapai uyo mkurùgenzi
Unaishi Tanzania hii hii???Wapi taarifa inasema magufuri anataka kumchomoa mkurugenzi kwenye kesi ya mauaji?
Wewe ukiporwa mtaani na kibaka anakuwa ametumwa na mzazi wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sasa wale waliokuwa wakidhani wanaoisoma namba ni upinzani peke yake, kama wana akili wataanza kujiongezaPolisi naona wanahangaika kumuokoa kwa maagizo toka juu ,basi ndugu nawashauri wasimuche huyo Mkurugenzi wampige kidyamsitu kama kile alichopigwa marehemu Ditopile nipo tayari kutoa msaada wa kiufundi bure .