Itigi: Polisi wadai wakati wa mauaji ndani ya kanisa, mkurugenzi alikuwa nje ya kanisa

WAFANYE wafanyavyo ila watambue uwepo wa Karma! Wajifunze kwa Ukiwaona Ditopile Mzuzuri (RIP)! HII DUNIA SII YETU, Usipofanya Haki panapostahili Haki, MUNGU ATAJUA CHA KUKUFANYA! Poleni wazazi, ndugu jamaa na marafiki, Wala msiwalazimishe kuamini kuwa Mkurugenzi kaua, waacheni watengeneze stori yao!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ujumbe mzito sana mkuu. Sitaki kuamini wanaofanya haya kama wanatambua iliyoyaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGUFULI ni mnyama haijawahi kutokea. Hivi ni kweli kabisa anataka kumchomoa Luhende??? Khaaaa....Ina maana kwake kuua ni kawaida....Sasa ndio tunaelewa mengi kuhusu miili inayookotwa kwenye fukwe za bahari...
Wapi taarifa inasema magufuri anataka kumchomoa mkurugenzi kwenye kesi ya mauaji?

Wewe ukiporwa mtaani na kibaka anakuwa ametumwa na mzazi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zama hizi siyo kabisa, tunahitaji tambiko la kitaifa kuna kitu hakiko sawa. Nadhani tulivyowadhulumu wahindi nyumba zao kitumbini,posta na Kisutu walitufanyia laana.
 
Wewe jiulize kama Mkurugenzi Mr Luhende Pius hukuua presha na sukari vinapandaje sambamba na tukio hili .Sisi tukio buku kazi kazi tumemuona yeye ndio ameua habari ya wanyama pori wanaijua polisi .
 
Maswali 10 tukio la mkurugenzi mauaji kanisani

1549542183629.png
 
mbeleko ya chuma nayo kumbe huliwa kutu, sasa ngoja tuone wapiga kura na kura zao kwa mteule na mteuzi
 
Wajuvi wa mambo tusaidieni kama Mkurugenzi wa itigi Mr Luhende Pius shija hakuua kama inavyosemwa .Kwa nini anapata presha na sukari Mara tu baada ya mauaji hayo Mimi binafsi nipo maeneo hayo na watu wote ,wanajuta Mkurugenzi ndie kaua msemaji wa jeshi la polisi ni ndani mpaka aseme vinginevyo .Waumini waliokuwepo kwenye tukio wapi ,wananchi wapi waliokuwepo ,Baba mzazi wa marehemu tumemsikia ,polisi kwa hili mtatenda haki kweli .
 
Sihimizi vurugu wala kuchochea lolote. Ila sometime polis huwa hawatend haki. Wana simama upande wa serikali.
Wanamtetea mkurugenzi ilihali live ameonekana akitenda kosa hilo.
Jamii ichukue hatua, kama mahakama itatetea.. basi iwe jino kwa jino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi naona wanahangaika kumuokoa kwa maagizo toka juu ,basi ndugu nawashauri wasimuche huyo Mkurugenzi wampige kidyamsitu kama kile alichopigwa marehemu Ditopile nipo tayari kutoa msaada wa kiufundi bure .
 
Polisi naona wanahangaika kumuokoa kwa maagizo toka juu ,basi ndugu nawashauri wasimuche huyo Mkurugenzi wampige kidyamsitu kama kile alichopigwa marehemu Ditopile nipo tayari kutoa msaada wa kiufundi bure .
Nadhani sasa wale waliokuwa wakidhani wanaoisoma namba ni upinzani peke yake, kama wana akili wataanza kujiongeza
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom