Kwenye android yoyote vitu vinagoma kutokana na settings zako na kufutafuta kwako vitu usivyovijua au kufuta vitu bila kusoma warning wakati wa kufuta,kuhusu huyaoni mafaili yako nenda 'internal storage' halafu hapo fungua kila faili,lazima yatakuwepo hapo.