Phabian Lubapula
Member
- Mar 12, 2018
- 9
- 1
Nini maana na tofauti kati ya kozi hizi mbili ITC na IT
Yeah ICT ndivyo mkuu sorry typing error!Siyo ICT kweli mkuu?? Anyway nahisi kuna neno Telecommunication kwenye hiyo moja na hiyo IT ni Information Technology
Information Communication and Technology (ICT) and Information Technology (IT)Nini maana na tofauti kati ya kozi hizi mbili ITC na IT
Na maelezo pia mkuuAnataka kirefu au maelezo ya ziada? Kujua mtu wa ict na it wanatofautiana nn