Itapendeza zaidi....................

Nilivyomuekewa Brenda ni kuwa, kama wote tukibadilisha life style na kula kiasi kidogo au kuacha kula kabisa wanga tutaongeza umri wa kuishi. Kwahiyo tutakuwa wengi wa miaka 110 mfano

Asante sana Sky...........
 
Brenda watu wa Scandinavia walishapita stage yakupigana na maradhi sugu na wako kwenye stage ya kujikinga na maradhi sugu. Sisi malaria tu tumeshindwa kupigana nayo.
 
Vyuma vilivyokaza hivi kula mara tatu kwa siku kwa wengi ni starehe. Shost aliniambia amekwenda kwa dada yake amemkuta amepiga chakula amewapa watoto tu yeye anasubiri jioni. Chakula kulikuwa kidogo.
Dah! Kiukweli hii nayo imekuwa ni issue, pole zake.
Aheri mtu ajibanebane kula kwa ajili ya kubalance mwili, kuliko kujibanabana kwa ajili ya ku-serve kisichokuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…