Nikawaida kwa sasa kwa watoa huduma wa Posta kupiga simu iwapo mzigo wako umekaa muda mrefu.Kifurushi nikapogiwa simu toka no Hii 0785 334 712 kuwa mzigo wako umeshafika njoo uchukue (tatizo inaonekana hana muda wa maelezo so kumuuliza ni wapi nije simu ikakatwa) ....Nikavunga zangu baada ya wiki 3 tena nikapigiwa njoo uchukue mzigo wako
Shukran mkuu coz nakumbua sikujaza po box noNikawaida kwa sasa kwa watoa huduma wa Posta kupiga simu iwapo mzigo wako umekaa muda mrefu.
Au mzigo hauna taarifa za kujitosheleza.
Mizigo yote sorting hufanyika Posta mpya dsm kisha ndio husambazwa kwenye posta zingine.
Yaonekana kuwa mzigo wako ulikosa SLP ndio sababu umekwa dsm.
Ni wajibu wako kufuatilia
Nawe!Haya nipe ukamilif wako huenda unaijua
Tatizo liko kwa seller,aliyetuma mzigo,na sio upande wako.Shukran mkuu coz nakumbua sikujaza po box no
Sana Mkuu,Ina maana ipo siku ingine mtu atatuambia tukamsaidie kumfumania mkewake!Aisee!JF imelemaza watu kiasi hiki!?
Shukrani mkuu ila hao dhl FedEx huwa ghal ukilinganisha na Kifurushi chenyeweTatizo liko kwa seller,aliyetuma mzigo,na sio upande wako.
Ametumia njia nafuu kutuma mzigo wako, ndio sababu umekuja kwa njia ya posta.
Ila kama seller angetumia DHL, ARAMEX, FEDEX, UPS, Hili tatizo lisingekuwepo na
Mzigo usingefikia posta, Na wala p.o.box huwa haihitajiki.
Maana ni physical address to ndio hutumika na ungeupta ndani ya siku chache.
Thread Rejea
- Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
Shukrani mkuu ila hao dhl FedEx huwa ghal ukilinganisha na Kifurushi chenyewe
Yap sikupata maelekezo ya kutosha zaid ya kuwekwa njia panda coz nilitaraj niambiwe njoo bandarin lakin nambiwa njoo posta na posta zipo nyingiNashindwa kuelewa kwanini usimpigie wewe!
Baada ya kupiga na kukosa msaada ndo ungekuja humu kuomba ushauri.
Kwanini usiwapigie upate maelezo ya kutosha.Yap sikupata maelekezo ya kutosha zaid ya kuwekwa njia panda coz nilitaraj niambiwe njoo bandarin lakin nambiwa njoo posta na posta zipo nyingi
Shukran kwa mchango wako wenye kukatisha tamaaKwani wewe uliweka delivery address ya wapi?!!?, tatizo tumelemaa ukiwambiwa posta unajua ni eneo...., ni kosa, hiyo sehemu wengi tuna refer kama eneo lakini ni ofisi(nenda office za posta sehemu ya mizigo(siyo EMS)) ya address uliyoandika..
Hakuandika address.Kwani wewe uliweka delivery address ya wapi?!!?, tatizo tumelemaa ukiwambiwa posta unajua ni eneo...., ni kosa, hiyo sehemu wengi tuna refer kama eneo lakini ni ofisi(nenda office za posta sehemu ya mizigo(siyo EMS)) ya address uliyoandika..