nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,690 Nov 9, 2012 #1 Habari zenu? naomba kujuzwa juu ya nchi ya Italy, ni kweli kuwa ni corrupt country kwasababu wananchi wake hawakulipa kodi? na ni njia zipi ambazo Italy ilizitumia ili kujiendeleza bila kodi za wananchi?
Habari zenu? naomba kujuzwa juu ya nchi ya Italy, ni kweli kuwa ni corrupt country kwasababu wananchi wake hawakulipa kodi? na ni njia zipi ambazo Italy ilizitumia ili kujiendeleza bila kodi za wananchi?