Italian quake on Ischia kills two women

Italian quake on Ischia kills two women

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,317
ITALIA: Watu 2 wamefariki na wengine 39 kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 4.0 kukikumba kisiwa cha Kitalii cha Ischia.

Katika tukio hilo Mtoto wa miezi 7 ameokolewa akiwa hana majeraha kutoka katika kifusi cha Nyumba moja iliyoangushwa na tetemeko.

Kisiwa hicho kilichopo katika eneo la pwani ya Naples kinakadiriwa kuwa na wakazi 50,000. Pia kisiwa hicho ni maarufu kwa shughuli za utalii ambapo inadaiwa watu wengi walikuwa katika migahawa wakipata chakula wakati tetembeko lilipokikumba kisiwa hicho.



======

An earthquake has struck the Italian island of Ischia, killing two women and leaving 39 others injured.

Rescuers pulled a seven-month-old baby from the rubble and are working to free his two brothers, officials say. Their parents escaped alive.

The 4.0 magnitude quake struck at 20:57 (19:57 GMT) on Monday, damaging a church and hospital.

The island, off the coast of Naples, has a population of about 50,000, and is extremely popular with tourists.

Many people were eating in restaurants when the quake struck, at a depth of around 5km (3 miles) just north of the commune of Casamicciola.

"A horrible experience, everything was shaking, plunged into darkness, houses were collapsing... a nightmare," one person wrote on Twitter.

Another said: "I was on the couch watching TV. Blackout, shaking, something fell on my head. I scream, my mother grabs me and we ran outside."

One elderly woman was reportedly killed by debris falling from a church, while another body was found in the rubble of collapsed building.

Among those rescued from the rubble was a pregnant woman.

Parts of the island were said to be without power.

A hospital in another badly-hit commune, Lacco Ameno, had to be evacuated and a temporary unit set up outside.

The Italian Red Cross confirmed on Twitter they were working with local authorities.

Extra ferries, from Naples to Ischia, were laid on during the night to bring more rescue workers to the island and allow holiday-makers to leave. Dozens of people are said to have ended their holidays early and Italian media said some tourists were sleeping on benches waiting for boats to arrive.

An emergency response team was quickly on the scene partly because additional numbers were already on the island to fight localised bush fires.

Source: BBC
 
Pole zao. Rasi ya Italia nayo kwa matetemeko ni hatari tupu. Miaka milioni ijayo Italia tunayoifahamu leo pamoja vijinchi vingine hasa visiwa (Zanzibar, Sri-Lanka, Taiwan, Japan, n.k.) zitakuwa zimetoweka kwenye uso wa dunia. Hebu waharakishe tafiti zinazoendelea kuhusu uwezekano wa kuishi huko sayari ya Mars vinginevyo dunia inarudi katika hali iliyokuwa nayo mwazo - kufunikwa na vilindi vya maji.

Mwa 1:1-2 "Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia. Dunia ilikuwa bila umbo, na ukiwa, na giza lilikuwa juu ya uso wa kilindi cha maji; na nguvu za utendaji za Mungu zilikuwa zikienda huku na huku juu ya uso wa maji."
 
Back
Top Bottom