Itakuwaje na huyo mwingine no 1 akienda CHADEMA?Hili swali nimeenza kujiuliza miezi mitatu tangia Dr Magufuli aanze kuongoza, instincts zangu, style yake ya uongozi na uhusiano wake na wenzake ndani ya chama chao ndo mzizi mkuu wa swali
Kwa mtazamo wangu wanaCCM halisi wanatambuana kwahiyo usitarajie atokee mtu ambaye ataji brand kama malaika awe ndo kiongozi wao ,ni suala la muda tu hii dhana itajidhihirisha . Hapa ndo moja ya hoja ambayo wanaomtabiria JPM ni one term president mbali na kusiriba demokrasia na katiba .Wengi wao hawataafiki mkuu apewe tena nafasi is going to face a very strong opposition mbaya zaidi na watu wa ndani yake (insiders).Lakini hadi sasa hivi ndani ya chama hajatokea mtu ambaye ana nguvu za ushawishi wa kuziunganisha rangi halisi za CCM wengi wao wamejawa na uoga
kufuatia logic hii hapo juu ni wakati sasa Lowasa anahitajika zaidi CCM kuliko muda wowote they need a unifying figure na atapata support kubwa sana kuliko yeyote yule aliyewahi kuwa mwaCCM, na hii ndo itakua ticket ya ku justify kuangushwa kwa Hon president kwa lugha nyingine kigezo kilichotumika kumuangusha EL 2015 i.e kiongozi anayependwa na wanachama wengi kitatumika kumpata mwakilishi wao 2020 (hili halihitaji sana akili kutambua)
Kwa maoni yangu Hon atapata mshtuko mkubwa sana siku akisikia EL anarudi CCM na CCM itatoka kwenye ombwi la ukandamizaji wa "demokrasia yao"
Hii maana yake nini EL ataibuka kuwa kiongozi wa kwanza ambaye atapendwa upinzani na chama tawala (atapata popularity kubwa sans ikiwezekana hata baadhi ya vyama vitapata damage za kudumu)
Kama hayo hapo niliyoyaelekeza juu hayatatokea CCM itarajie exodus kubwa ya mapapa wake kuelekea upinzani mwaka 2020 na kama nguvu ile ya kidemokrasia za Africa (manipulations of general election results ) haitafanyika upinzani watachukua rasmi nchi 2020 ikiwa tu kama ataendelea na style yake ya leadership,sauti na matakwa ya watu na roles za civil society zitapuuzwa, viwanda havitajengwa,failures za uchumi hautarekebishwa,ukosefu wa ajira na bado akahitaji aongoze tena
Ni vizuri ukiwa na ndoto ya maisha lakini ukiongozwa na matamanio ya nafsi ni hatari kwa maisha yakoHili swali nimeenza kujiuliza miezi mitatu tangia Dr Magufuli aanze kuongoza, instincts zangu, style yake ya uongozi na uhusiano wake na wenzake ndani ya chama chao ndo mzizi mkuu wa swali
Kwa mtazamo wangu wanaCCM halisi wanatambuana kwahiyo usitarajie atokee mtu ambaye ataji brand kama malaika awe ndo kiongozi wao ,ni suala la muda tu hii dhana itajidhihirisha . Hapa ndo moja ya hoja ambayo wanaomtabiria JPM ni one term president mbali na kusiriba demokrasia na katiba .Wengi wao hawataafiki mkuu apewe tena nafasi is going to face a very strong opposition mbaya zaidi na watu wa ndani yake (insiders).Lakini hadi sasa hivi ndani ya chama hajatokea mtu ambaye ana nguvu za ushawishi wa kuziunganisha rangi halisi za CCM wengi wao wamejawa na uoga
kufuatia logic hii hapo juu ni wakati sasa Lowasa anahitajika zaidi CCM kuliko muda wowote they need a unifying figure na atapata support kubwa sana kuliko yeyote yule aliyewahi kuwa mwaCCM, na hii ndo itakua ticket ya ku justify kuangushwa kwa Hon president kwa lugha nyingine kigezo kilichotumika kumuangusha EL 2015 i.e kiongozi anayependwa na wanachama wengi kitatumika kumpata mwakilishi wao 2020 (hili halihitaji sana akili kutambua)
Kwa maoni yangu Hon atapata mshtuko mkubwa sana siku akisikia EL anarudi CCM na CCM itatoka kwenye ombwi la ukandamizaji wa "demokrasia yao"
Hii maana yake nini EL ataibuka kuwa kiongozi wa kwanza ambaye atapendwa upinzani na chama tawala (atapata popularity kubwa sans ikiwezekana hata baadhi ya vyama vitapata damage za kudumu)
Kama hayo hapo niliyoyaelekeza juu hayatatokea CCM itarajie exodus kubwa ya mapapa wake kuelekea upinzani mwaka 2020 na kama nguvu ile ya kidemokrasia za Africa (manipulations of general election results ) haitafanyika upinzani watachukua rasmi nchi 2020 ikiwa tu kama ataendelea na style yake ya leadership,sauti na matakwa ya watu na roles za civil society zitapuuzwa, viwanda havitajengwa,failures za uchumi hautarekebishwa,ukosefu wa ajira na bado akahitaji aongoze tena
Mkuu mimi na wewe ni mashahidi kungekua na demokrasia ndani ya chama Magu kwenye uenyekiti angeangukia puaNi vizuri ukiwa na ndoto ya maisha lakini ukiongozwa na matamanio ya nafsi ni hatari kwa maisha yako
Haingii akilini kusema Lowassa atarudi ccm,nani atampokea?huyo ni wenu mnalo hilo zigo la misumari,halafu usisahau kua Magufuli ndio mwenyekiti wa CCM na anadhibiti chama kwa 100%
Na Dr Slaa ataanza kutukuzwa tenaHili swali nimeenza kujiuliza miezi mitatu tangia Dr Magufuli aanze kuongoza, instincts zangu, style yake ya uongozi na uhusiano wake na wenzake ndani ya chama chao ndo mzizi mkuu wa swali.
Kwa mtazamo wangu wanaCCM halisi wanatambuana kwahiyo usitarajie atokee mtu ambaye ataji brand kama malaika awe ndo kiongozi wao ,ni suala la muda tu hii dhana itajidhihirisha . Hapa ndo moja ya hoja ambayo wanaomtabiria JPM ni one term president mbali na kusiriba demokrasia na katiba.
Wengi wao hawataafiki mkuu apewe tena nafasi is going to face a very strong opposition mbaya zaidi na watu wa ndani yake (insiders).Lakini hadi sasa hivi ndani ya chama hajatokea mtu ambaye ana nguvu za ushawishi wa kuziunganisha rangi halisi za CCM wengi wao wamejawa na uoga.
Kufuatia logic hii hapo juu ni wakati sasa Lowasa anahitajika zaidi CCM kuliko muda wowote they need a unifying figure na atapata support kubwa sana kuliko yeyote yule aliyewahi kuwa mwaCCM, na hii ndo itakua ticket ya ku justify kuangushwa kwa Hon president kwa lugha nyingine kigezo kilichotumika kumuangusha EL 2015 i.e kiongozi anayependwa na wanachama wengi kitatumika kumpata mwakilishi wao 2020 (hili halihitaji sana akili kutambua).
Kwa maoni yangu Hon atapata mshtuko mkubwa sana siku akisikia EL anarudi CCM na CCM itatoka kwenye ombwi la ukandamizaji wa "demokrasia yao"
Hii maana yake nini EL ataibuka kuwa kiongozi wa kwanza ambaye atapendwa upinzani na chama tawala (atapata popularity kubwa sans ikiwezekana hata baadhi ya vyama vitapata damage za kudumu)
Kama hayo hapo niliyoyaelekeza juu hayatatokea CCM itarajie exodus kubwa ya mapapa wake kuelekea upinzani mwaka 2020 na kama nguvu ile ya kidemokrasia za Africa (manipulations of general election results ) haitafanyika upinzani watachukua rasmi nchi 2020 ikiwa tu kama ataendelea na style yake ya leadership,sauti na matakwa ya watu na roles za civil society zitapuuzwa, viwanda havitajengwa,failures za uchumi hautarekebishwa,ukosefu wa ajira na bado akahitaji aongoze tena.
Atakuwa AMEPACHUKA...Itakuwa amejirudia ZIZINI. Ila atakuwa AMEKATIKA mkia..Hakuna shida akirudi
Naona mafuta ya taa yamefika ardhini nyoka wote mnatapa tapa na bado huu mwanzo tuuuHili swali nimeenza kujiuliza miezi mitatu tangia Dr Magufuli aanze kuongoza, instincts zangu, style yake ya uongozi na uhusiano wake na wenzake ndani ya chama chao ndo mzizi mkuu wa swali.
Kwa mtazamo wangu wanaCCM halisi wanatambuana kwahiyo usitarajie atokee mtu ambaye ataji brand kama malaika awe ndo kiongozi wao ,ni suala la muda tu hii dhana itajidhihirisha . Hapa ndo moja ya hoja ambayo wanaomtabiria JPM ni one term president mbali na kusiriba demokrasia na katiba.
Wengi wao hawataafiki mkuu apewe tena nafasi is going to face a very strong opposition mbaya zaidi na watu wa ndani yake (insiders).Lakini hadi sasa hivi ndani ya chama hajatokea mtu ambaye ana nguvu za ushawishi wa kuziunganisha rangi halisi za CCM wengi wao wamejawa na uoga.
Kufuatia logic hii hapo juu ni wakati sasa Lowasa anahitajika zaidi CCM kuliko muda wowote they need a unifying figure na atapata support kubwa sana kuliko yeyote yule aliyewahi kuwa mwaCCM, na hii ndo itakua ticket ya ku justify kuangushwa kwa Hon president kwa lugha nyingine kigezo kilichotumika kumuangusha EL 2015 i.e kiongozi anayependwa na wanachama wengi kitatumika kumpata mwakilishi wao 2020 (hili halihitaji sana akili kutambua).
Kwa maoni yangu Hon atapata mshtuko mkubwa sana siku akisikia EL anarudi CCM na CCM itatoka kwenye ombwi la ukandamizaji wa "demokrasia yao"
Hii maana yake nini EL ataibuka kuwa kiongozi wa kwanza ambaye atapendwa upinzani na chama tawala (atapata popularity kubwa sans ikiwezekana hata baadhi ya vyama vitapata damage za kudumu)
Kama hayo hapo niliyoyaelekeza juu hayatatokea CCM itarajie exodus kubwa ya mapapa wake kuelekea upinzani mwaka 2020 na kama nguvu ile ya kidemokrasia za Africa (manipulations of general election results ) haitafanyika upinzani watachukua rasmi nchi 2020 ikiwa tu kama ataendelea na style yake ya leadership,sauti na matakwa ya watu na roles za civil society zitapuuzwa, viwanda havitajengwa,failures za uchumi hautarekebishwa,ukosefu wa ajira na bado akahitaji aongoze tena.
Hili swali nimeenza kujiuliza miezi mitatu tangia Dr Magufuli aanze kuongoza, instincts zangu, style yake ya uongozi na uhusiano wake na wenzake ndani ya chama chao ndo mzizi mkuu wa swali.
Kwa mtazamo wangu wanaCCM halisi wanatambuana kwahiyo usitarajie atokee mtu ambaye ataji brand kama malaika awe ndo kiongozi wao ,ni suala la muda tu hii dhana itajidhihirisha . Hapa ndo moja ya hoja ambayo wanaomtabiria JPM ni one term president mbali na kusiriba demokrasia na katiba.
Wengi wao hawataafiki mkuu apewe tena nafasi is going to face a very strong opposition mbaya zaidi na watu wa ndani yake (insiders).Lakini hadi sasa hivi ndani ya chama hajatokea mtu ambaye ana nguvu za ushawishi wa kuziunganisha rangi halisi za CCM wengi wao wamejawa na uoga.
Kufuatia logic hii hapo juu ni wakati sasa Lowasa anahitajika zaidi CCM kuliko muda wowote they need a unifying figure na atapata support kubwa sana kuliko yeyote yule aliyewahi kuwa mwaCCM, na hii ndo itakua ticket ya ku justify kuangushwa kwa Hon president kwa lugha nyingine kigezo kilichotumika kumuangusha EL 2015 i.e kiongozi anayependwa na wanachama wengi kitatumika kumpata mwakilishi wao 2020 (hili halihitaji sana akili kutambua).
Kwa maoni yangu Hon atapata mshtuko mkubwa sana siku akisikia EL anarudi CCM na CCM itatoka kwenye ombwi la ukandamizaji wa "demokrasia yao"
Hii maana yake nini EL ataibuka kuwa kiongozi wa kwanza ambaye atapendwa upinzani na chama tawala (atapata popularity kubwa sans ikiwezekana hata baadhi ya vyama vitapata damage za kudumu)
Kama hayo hapo niliyoyaelekeza juu hayatatokea CCM itarajie exodus kubwa ya mapapa wake kuelekea upinzani mwaka 2020 na kama nguvu ile ya kidemokrasia za Africa (manipulations of general election results ) haitafanyika upinzani watachukua rasmi nchi 2020 ikiwa tu kama ataendelea na style yake ya leadership,sauti na matakwa ya watu na roles za civil society zitapuuzwa, viwanda havitajengwa,failures za uchumi hautarekebishwa,ukosefu wa ajira na bado akahitaji aongoze tena.
Mwanaume haoti MCHANA! Ni fedheha sana kwa mwanaume halisi kuota ndoto za kipumbavu MCHANA kweupeeee! Unategemea huyo MTU wako atagombea na kuwa Rais wa Nchi hii tena? Thubutuuuuu! Uwe na akili japo kidogo!!Hili swali nimeenza kujiuliza miezi mitatu tangia Dr Magufuli aanze kuongoza, instincts zangu, style yake ya uongozi na uhusiano wake na wenzake ndani ya chama chao ndo mzizi mkuu wa swali.