Itakuwa hatari kwa Zanzibar kama Chadema atachukua jimbo, na si jimbo tu – hata kupata Usheha/Udiwani ni hatari kwa Zanzibar: na ni AIBU kwa Wazanzibari, na Zanzibar kwa Chadema kuchukua hata kura nyingi za namna hiyo against chama cha wazawa CUF .....