Itakuwa aibu kubwa kwa Jeshi la Polisi kuwapiga mabomu BAVICHA

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
napenda kusema ni vizuri tena inapendeza kuwaunga polisi katka UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.

naunga mkono tamko la polisi kupiga marufuku nikutano yote ya kisiasa nje au ndani.

polisi kwa weledi waliweza kuzuia mkutano wa Act pia ndani ya makaomakuu ya chama.

polisi kwa mabomu na nagari ya kuwasha walizuia mkutano wa chadema kule kahama pia mbowe kukatazwa kuwapa hi masela wa kitaa.

pia polisi kwa weledi wakazuia mahafali ya wanachadema kule Dodoma,moshi nk.

HOJA YANGU TUNAOMBA BAVICHA KAMA POLISI JAMII WAUNGWE MKONO KUZUIA UVUNJAJI WA TAMKO LA POLISI AMBAPO TAREHE 23 JULAI KUNA TUKIO LA KISIASA.

TUNAWAOMBA POLISI KUTUMIA POLISI JAMII(wananchi=bavicha) kushirikiana ili kuzuia uvunjifu wowote wa agizo la jeshi la polisi.

NAUNGA MKONO UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.

CCM WATII SHERIA ZA JESHI LA POLISI BILA SHURUTI WAAIRISHE MKUTANO WAO MPAKA POLISI WATAKPORUHUSU MIKUTANO YA KISIASA.
 
Wafanye shughuli za siasa mpaka itakapofika 2020.
Lakini jinsi ninavyo lielewa jeshi letu la polisi watasema amani imetulia kwa hiyo wameruhusu ya CCM kwa kibali maalum na Chadema wakijaribu kuomba kibali watanyimwa.
 
Hivi anazungumzia nini, cjamwelewa

Lazima utashindwa kuelewa maana serikali yenu inapenda kutoa maagizo bila kuangalia mbele.

Kila siku wanawaza jinsi ya kuwakomoa wapinza sasa simlikataa siasa zifanyike mpaka ifikapo 2020.
 
napenda kusema ni vizuri tena inapendeza kuwaunga polisi katka UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.

naunga mkono tamko la polisi kupiga marufuku nikutano yote ya kisiasa nje au ndani.

polisi kwa weledi waliweza kuzuia mkutano wa Act pia ndani ya makaomakuu ya chama.

polisi kwa mabomu na nagari ya kuwasha walizuia mkutano wa chadema kule kahama pia mbowe kukatazwa kuwapa hi masela wa kitaa.

pia polisi kwa weledi wakazuia mahafali ya wanachadema kule Dodoma,moshi nk.

HOJA YANGU TUNAOMBA BAVICHA KAMA POLISI JAMII WAUNGWE MKONO KUZUIA UVUNJAJI WA TAMKO LA POLISI AMBAPO TAREHE 23 JULAI KUNA TUKIO LA KISIASA.

TUNAWAOMBA POLISI KUTUMIA POLISI JAMII(wananchi=bavicha) kushirikiana ili kuzuia uvunjifu wowote wa agizo la jeshi la polisi.

NAUNGA MKONO UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.

CCM WATII SHERIA ZA JESHI LA POLISI BILA SHURUTI WAAIRISHE MKUTANO WAO MPAKA POLISI WATAKPORUHUSU MIKUTANO YA KISIASA.
Kwa wale wzpinda muumivi wakashirikk
 
Sasa watu kama hawajui kwamba kuna chama tawala na vyama vya upinzani ni hatari tupu. Yaani chama kinachotawala unakilinganisha na chama kinachotawaliwa. Yaani anayetawaliwa anakosa adabu na heshima kwa mtawala halafu anategemea asipate adhabu kali. Eti demokrasia ni kuruhusu watu wakose adabu na heshima kwa watawala. Eti uhuru wa kuongea uliotajwa kwenye katiba ni uhuru wa kuropoka.

Wananchi katika uchaguzi mkuu wa 2015 walikichagua CCM kuwa chama tawala hadi 2020. Hivyo ni wajibu wa polisi kuhakikisha kuwa CCM inatawala kama ambavyo wananchi walichagua.

Ni obvious atakayetaka kuleta fyoko fyoko kuzuia mkutano mkuu wa chama tawala atajuta maishani yake yote. Atakachokipata ni zaidi ya kile cha mwandishi wa kifaru!!!
 
Naona unahemkwa na buku mbili. Eti fyoko. Kasema nani mikutano ya siasa mpaka 2020. Tatizo Lumumba mnafikiria chini ya pua mkasahau kwamba mikutano inawahusu wapinzani tu. Sasa wa kwenu huo hapo nendeni muone mnavyotaka kutuletea fujo eti kisa nyinyi ndio mko madarakani. Madaraka gani ya wizi tu. Kama Mungu anawaona ipo siku mtapigwa pigo ambalo hamtakuja kulisahau maisha yenu yote.
 
Back
Top Bottom