muhandu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2011 Posts 311 Reaction score 84 Nov 1, 2015 #1 Salaam wana jukwaa,napenda kufahamu ni lini mtu anaweza kuanza ku apply chuo kikuu hasa kwa wale ambao wamemaliza form six miaka ya 2000? Asanteni na karibuni kwa msaada huo. :amen::amen:.:amen:
Salaam wana jukwaa,napenda kufahamu ni lini mtu anaweza kuanza ku apply chuo kikuu hasa kwa wale ambao wamemaliza form six miaka ya 2000? Asanteni na karibuni kwa msaada huo. :amen::amen:.:amen:
young mdogoo Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 120 Reaction score 21 Nov 4, 2015 #2 Mkuu mbona kama umechelewa kidogo Watu mpaka 1998 nimewaona wameshachaguliwa na saiv wanafanya registration
Mkuu mbona kama umechelewa kidogo Watu mpaka 1998 nimewaona wameshachaguliwa na saiv wanafanya registration
muhandu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2011 Posts 311 Reaction score 84 Nov 6, 2015 Thread starter #3 kwa mwakani 2016 mkuu,ni mwezi gani?
petro faustine Member Joined Oct 2, 2014 Posts 74 Reaction score 6 Nov 6, 2015 #4 muhandu said: kwa mwakani 2016 mkuu,ni mwezi gani? Click to expand... apps huwa zinaanza mwez wa 8
G GOD 66 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 628 Reaction score 270 Nov 6, 2015 #5 petro faustine said: apps huwa zinaanza mwez wa 8 Click to expand... mwez wa 6 unaanza apply na wa 8 n deadlne
petro faustine said: apps huwa zinaanza mwez wa 8 Click to expand... mwez wa 6 unaanza apply na wa 8 n deadlne
Sosthenes Maendeleo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,741 Reaction score 1,723 Nov 6, 2015 #6 Mwezi wa tano