IT

IT

Gwassa_boy

New Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
4
Reaction score
0
Msaada nina mdogo wangu kamaliza form four ana division four ya cheti je anaweza kusomea (IT) software engineering
 
Msaada nina mdogo wangu kamaliza form four ana division four ya cheti je anaweza kusomea (IT) software engineering
Km ana penda computer,aanze na certificate ya cit au cbit thrn apande nayo ad diploma,akmalize atachagua arukie bachelor ya nn

Sent using Brain
 
Software Engineering, Hawezi hata kwa mbinde. Akasome PC maintanance and Troubleshooting certificate ndio kasha diploma
HAPO LAZIMA AWE AMEFAULU Hisabati na Fizikia, lakini mtu mwenye Div F na hisabati au fikizia nadhani hakuna labda asome secretarial course, kompyuta ataigusa gusa
 
Msaada nina mdogo wangu kamaliza form four ana division four ya cheti je anaweza kusomea (IT) software engineering
Unajua kufeli form four sio mwisho wa dunia ya taharuma.Anaweza soma IT na akafanya vizuri tu.IT imegawanyika sehemu kuu mbili kuna Engineering na Computer science(programing) jua kwanza anapendelea nn! ningeshauri DIT wana course nzuri na Zenye future,kama vile 3D,etc
 
Naomba niulize wakuu, mtu akiwa na diploma ya IT anaweza kujiunga bsc mechanical au civil engineering?

SUKAH...
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niulize wakuu, mtu akiwa na diploma ya IT anaweza kujiunga bsc mechanical au civil engineering?

SUKAH...
 
Back
Top Bottom