nikweli, ila pia siyo wanasiasa wote ni waongo. Sometimes hata malaika unaweza dhani ni mapepo ujue Madam Mwajuma
''Mentor wa Mahusiano'' aliefanya trials nyingi huko kitaa na still akakosa mke!
Hence, kaamua kuja kutafuta mke wa kwenye 'soft copy' akiwa nyuma ya keyboard. Teh teh teh
BTW... It sounds exaggerated! utadhani mwanasiasa anaomba kura. (Joking)
All the best kiongozi
-Kaveli-
hahahhaaaNime ku quote usijebadili maneno baadae
Kila la kheri ktk kutimiza uliyoyaandika haswa wewe utafanyaje pia.
umeandika vzr sana. ungekuwa pia una uwezo wa kuongea hivi hivi ungekuwa ushapata mke.
alaf umesahau kuweka picha yako.
Kwa jinsi nilivyouelewa uzi wako, its not me, it might be my sister...
picha huwa inaeleza mambo mengi kwa mkupuo. ungetupia picha usingelazimika kuyaandika yote hayo, tungeyapata kwenye picha.asante, sidhani kama itakuwa busara kuweka picha. Nafikiri this can be done privately for the interested ones yello masai , does that makes sense with you?
my be good at writing.Ko yello masai unahisi siwezi kuongea labda? Nijaribu kwako atiiii
Hahaaaa, haki ya nani !!! Tatizo ni kwamba bado sioni nuru, naona giza! Mungu hakunifafanulia nitamgunduaje! ikiwa ni ww mzurimie una hivyo vigezo nafikiri CHUKUA HATUA...
my be good at writing.
hayo achana nayo.... weka picha kwanza.
picha huwa inaeleza mambo mengi kwa mkupuo. ungetupia picha usingelazimika kuyaandika yote hayo, tungeyapata kwenye picha.
weka picha basi wakujaji.