Je maandamano yanaelekea wapi?
Je maandamano yana malengo gani?
Au ni maandamano ya kutoa ccm mdarakani?
Kama yanaiga mfumo wa kuelekea ikulu kama Sri Lanka, Bangladesh na Nepal inabidi watu waende ikulu hata kwa fisi au kwa ungo.
Au maandamano yaanzie stendi ya kivukoni, stendi ya mwendokasi kivukoni, au stendi ya feri kwenye pantoni upande wa posta.
Au watanzania woooote na watu wote waende kama wanaenda kwenye ibada kwenye misikiti na makanisa yaliyo karibu na ikulu
Kwa misikiti waende kuswali misikiti ya posta, upanga, kariakoo, magomeni
Msikiti wa kisutu, kitumbini, kariakoo kwa mtoro, ksij, msikiti wa maamur upanga.
Makanisa
Watanzania woooote waende kusali misa za St Joseph cathedral ya posta na Azania Front ya posta.
Pakiwa na nyomi kwenye misa ya St Joseph cathedral na Azania Front ya posta pamoja nyomi kwenye stendi ya kivukoni kuingia ikulu ya Dar ni fasta tu.
Pia kuna ccc upanga na kkkt kariakoo
Mitaa ya posta iwe na nyomi, upanga na kariakoo pawe na nyomi kubwa lote linaelekea ikulu
Inabidi pawe na watu laki mbili hadi 1m karibu na ikulu baada ya hapo safari ya kuelekea ikulu inaanza. Labda iwe hivyo.