happy birthday
Mamndenyi
ukitokelezea kitraditionale utapendeza sana
nakushauri vaa mtoko huu wa kitenge
Je huu utaupenda?
na huu je mumy?
na huu nao?
na style hizi je?
basi kumbushia ubinti wako
sasa function ya kukata keki wapi bestito?
Last edited by a moderator: