Salamu sana.
Leo ni siku ya kuzaliwa mie mama yenu.
Wote watoto wajukuu karibuni.
Hebu Niambieni nitokeje mie.
Mdogo wako. Real? Asante sana.
Hahahaaaa,,,real!Heri ya kuzaliwa
Sawa mkuu sungura1980 umepotea sana jirani Mamndenyi acha akuwe ili azeeke aache nyodo.
Salamu sana.
Leo ni siku ya kuzaliwa mie mama yenu.
Wote watoto wajukuu karibuni.
Hebu Niambieni nitokeje mie.
Salamu sana.
Leo ni siku ya kuzaliwa mie mama yenu.
Wote watoto wajukuu karibuni.
Hebu Niambieni nitokeje mie.