mkuu hiki chuo kwa ujumla kipo vizuri sana. mazingira ya kusomea yako poa sana kuna computer lab kama 3 hivi kwahyo unakuta kwenye kusoma IT kila mtu na computer yake, projector kila darasa, madarasa yote full AC, libraly yenye vitabu vya kutosha vya IT na masomo mengine, walimu pia wako vizuri. chuo kinatoa short courses za IT, busness, account mfano Tally, na english course mf IELTS.Jamani naulizeni Kwa wale waliowahi kusoma chuo cha power computer Posta kilichopo Jengo la SABODO mtaa wa INDIA nisaidie kunipa sifa na uzuri wa chuo hicho
Napenda Kusoma IT BUSINESSES
Nitag ukiandika hiyo makalamkuu hiki chuo kwa ujumla kipo vizuri sana. mazingira ya kusomea yako poa sana kuna computer lab kama 3 hivi kwahyo unakuta kwenye kusoma IT kila mtu na computer yake, projector kila darasa, madarasa yote full AC, libraly yenye vitabu vya kutosha vya IT na masomo mengine, walimu pia wako vizuri. chuo kinatoa short courses za IT, busness, account mfano Tally, na english course mf IELTS.
hyo business and IT unayotaka kusoma inatolewa kwa syllabus ya UK inaitwa NCC tembelea www.nccedu.com kwa maelezo zaidi. hii NCC ukisoma miaka miwili hapo chuo yani level 4 na level 5 ni sawa na mwaka wa kwanza na wa pili wa degree ambapo ukienda UK au nairobi unasoma mwaka mmoja unapata degree ya kwanza ukiwa huwez unaweza kusoma online maana kile chuo wanafundisha level 4 na level 5 tu na cheti kinatoka kwa kila level. qualification za kujiunga ni principle mbili form 6 au kwa form 4 unaanzia level 3 kama foundation course.
pia zipo course za ICDl (International computer driving lisence) ambayo hizi ni coz za computer ambazo zinatambulika kimataifa.
natarajia kuandika uzi maalumu kwa ajili ya hii elimu naona ni fursa kubwa kwa sisivijana wa kitanzania kuingia kwenye soko la kimataifa.
sawa mkuu lakini kama uko interested njoo pm nitakujibu kila unachotaka kufahamuNitag ukiandika hiyo makala
ndio mkuu nmesoma ICDL hapoUliwahi kusoma pale au vipi mkuu
Mkuu kama iko sawa kwako naoma nije PM kuhusu hii kitu, kuna wakati kama wiki mbili zilizopita niliulizia hii kitu hapa jukwaani lakini sikupata jibu la kueleweka. Nitashukuru.s
sawa mkuu lakini kama uko interested njoo pm nitakujibu kila unachotaka kufahamu
karibu mkuuMkuu kama iko sawa kwako naoma nije PM kuhusu hii kitu, kuna wakati kama wiki mbili zilizopita niliulizia hii kitu hapa jukwaani lakini sikupata jibu la kueleweka. Nitashukuru.
Ada sh ngapi kiongozi??AF kuna koz za jioni(part-time)mkuu hiki chuo kwa ujumla kipo vizuri sana. mazingira ya kusomea yako poa sana kuna computer lab kama 3 hivi kwahyo unakuta kwenye kusoma IT kila mtu na computer yake, projector kila darasa, madarasa yote full AC, libraly yenye vitabu vya kutosha vya IT na masomo mengine, walimu pia wako vizuri. chuo kinatoa short courses za IT, busness, account mfano Tally, na english course mf IELTS.
hyo business and IT unayotaka kusoma inatolewa kwa syllabus ya UK inaitwa NCC tembelea www.nccedu.com kwa maelezo zaidi. hii NCC ukisoma miaka miwili hapo chuo yani level 4 na level 5 ni sawa na mwaka wa kwanza na wa pili wa degree ambapo ukienda UK au nairobi unasoma mwaka mmoja unapata degree ya kwanza ukiwa huwez unaweza kusoma online maana kile chuo wanafundisha level 4 na level 5 tu na cheti kinatoka kwa kila level. qualification za kujiunga ni principle mbili form 6 au kwa form 4 unaanzia level 3 kama foundation course.
pia zipo course za ICDl (International computer driving lisence) ambayo hizi ni coz za computer ambazo zinatambulika kimataifa.
natarajia kuandika uzi maalumu kwa ajili ya hii elimu naona ni fursa kubwa kwa sisivijana wa kitanzania kuingia kwenye soko la kimataifa.
Hizo principal pass kwa ajili ya form six candidates ni za combination gani? Au ni kwa combination yoyote ile?Nitag ukiandika hiyo makala
Bado sijafahamu. Nimemuuliza PM hajajibuHizo principal pass kwa ajili ya form six candidates ni za combination gani? Au ni kwa combination yoyote ile?
ada wanalipa kwa pound but sjajua ni pound ngapi (ni pm nikupe namba za ofisi utajibiwa)... kozi za jioni zipo kuanzia saa 11 hadi saa 2 uckuAda sh ngapi kiongozi??AF kuna koz za jioni(part-time)
nafikiri ni masomo yoyote maana hapo kuna option ya kusoma busnes tu, au IT tu au busness na IT ss haya ni masomo ambayo mtu wa combination yoyote anaweza kufanya.Hizo principal pass kwa ajili ya form six candidates ni za combination gani? Au ni kwa combination yoyote ile?
Naku pm inagomaada wanalipa kwa pound but sjajua ni pound ngapi (ni pm nikupe namba za ofisi utajibiwa)... kozi za jioni zipo kuanzia saa 11 hadi saa 2 ucku
angalia account yako inawezekana umedisable pm maana hata mimi naku pm inagoma lakini pm za wengine zinanifikia na najibuNaku pm inagoma
mkuu hapa kuna course nyingi inategemea wewe unataka ipiSisi wa form 4 division 32 tunalusiwa kusoma apo Na ada yake kwa ngazi ya cheti ikoje