Ntumiee inbox namba yako ya simuHabari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana nimejikuta naipunguza nakurudishia tu, tupokezane jamani hizo baby walker.
Nipo Dsm Ilala.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Dah vijana watz tunyanyasika sana wakati kuna wahindi wananunua magari wanayachezea na kuuza wanavyotaka. Yote hii ni kwasababu sisi hatujashika uchumi wetu hata kwa 10% tunabakia kuwa mashabiki tu wa kusindikiza maisha.Habari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana nimejikuta naipunguza nakurudishia tu, tupokezane jamani hizo baby walker.
Nipo Dsm Ilala.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Lete saba kamili nikupe DLHabari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana nimejikuta naipunguza nakurudishia tu, tupokezane jamani hizo baby walker.
Nipo Dsm Ilala.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ndugu we acha kabisaDah vijana watz tunyanyasika sana wakati kuna wahindi wananunua magari wanayachezea na kuuza wanavyotaka. Yote hii ni kwasababu sisi hatujashika uchumi wetu hata kwa 10% tunabakia kuwa mashabiki tu wa kusindikiza maisha.
Wenzetu hapo south africa tu vijana wakikomaa kidogo mtu anamiliki BMW, VW, au hata Mercedes ya kisasa na anakaa uswazi kule mbavu za mbwa.... Ni swala la bidii tu yaani. Ila sisi hapa hata uwe na bidiii vipi, bila connection unapoteza muda tu.
Mkuu naitamani hyo DL lakini kahela kamegoma kuongezeka kila nikijitahidi ndio kwanza kanataka kuungua we nikunjulie nafsi tu nianzie maisha unakua kama umetoa sadaka mkuuLete saba kamili nikupe DL
Hizo C nyingi 6M
Nmeunga mkuu haiongezekiDaah ila ndo ivo ungeongeza kama mara mbili yke ungepata BMW 320i kali asee ungesumbuä sna mtaa
Nishakutumia namba pm mkuuNtumiee inbox namba yako ya simu
kuna jamaa anasukuma toyota carina 5.5 milioni no C...ukibadili mawazo nichek nikuunge nae..Habari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana nimejikuta naipunguza nakurudishia tu, tupokezane jamani hizo baby walker.
Nipo Dsm Ilala.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu naitamani hyo DL lakini kahela kamegoma kuongezeka kila nikijitahidi ndio kwanza kanataka kuungua we nikunjulie nafsi tu nianzie maisha unakua kama umetoa sadaka mkuu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ngoja nipambane kidogo mkuu ntakutafuta ikishindikanakuna jamaa anasukuma toyota carina 5.5 milioni no C...ukibadili mawazo nichek nikuunge nae..
Nina Subaru legacy touring wagon number DTE with mileage of 49k, The reason I'm selling it nahama Tanzania so ndio maana naiuza gari very urgent but is the best car I ever had