gari ni hiyo na nimeinunua kwa kupitia picha hiyo hiyo. sasa mpaka niipige picha upya wakati ipo nyumbani while hakuna ilichoongezeka au kupungua huoni ni kupoteza muda mzee?attach the picture of the real car for sale and not the one downloaded from the internet.
Mi nikajua "International School of Tanganyika" inauzwa.
wengi wetu hata mie pia fikra moja nawe.!Mi nikajua "International School of Tanganyika" inauzwa.
IST nilishtuka nikataka kujua imekuwaje Internation School of Tanganyika inauzwa? kumbe sio IST hiyo ni toyota mhhn
Mi nikajua "International School of Tanganyika" inauzwa.
IST nilishtuka nikataka kujua imekuwaje Internation School of Tanganyika inauzwa? kumbe sio IST hiyo ni toyota mhhn
hiyo reading ya odo si mchenzo-mbali->>>>>>>>
Mi mwenyewe nimeshtuka nikasema sasa mzee dully ndio ameshatoka hivyo ... sio mwenzetu tena ... hatutamuona tena JF ...
...Na mimi nilihisi hivyo nikajua kuna fisadi anataka kufanya vitu vyake!!! haya kazi kwenu!!!IST nilishtuka nikataka kujua imekuwaje Internation School of Tanganyika inauzwa? kumbe sio IST hiyo ni toyota mhhn
mi nikajua "international school of tanganyika" inauzwa.
wewe kama mimi,
lini utabadilisha??hapana wazee itabidi nibadilishe heading kidogo maana naona inawakonfyuuz watu
hapo vipi?lini utabadilisha??
nimetembelea nikidhani ni shule inauzwa ili niangalie hopw to bid