khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
130,000 +Imetembea km ngapi?
nahitaji pesa mkuu... imetembea km 130, 000 +Sababu ya kuiuza??
Odometer inasomekaje??
Pungufu unaongea?
ist model 2004
ipo mbezi dsm
haina tatizo lolote
insuarance na road licence mpaka october 2015
mil 7
0713 77 47 46
hapana mkuu ongeza6.2m cash mkuu
tayariMkuu nmeku PM nasubiri Jibu lako boss
ah huo tayari mkopomkuu ipo sita kamili, natanguliza tatu, then 3 baada ya mwezi kama upo okey mm nikucheki
Nilidhani inayouzwa ni shule ya International School of Tanganyika (IST)IST inauzwa
Kwa nyumba ndogo vinafaa sana hivi
6.2m cash mkuuhapana mkuu ongeza
Tano vp haiendimi nina tano na nusu cash