IST inahitajika

IST inahitajika

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,237
Reaction score
8,530
gari toyota ist inaitajika iwe chin ya kilomita 80 elf...... black..... 2004yrs number D..... mwenye nayo anicontact 0772 001745
 
gari toyota ist inaitajika iwe chin ya kilomita 80 elf...... black..... 2004yrs number D..... mwenye nayo anicontact 0772 001745

Call this number! 0754 399 247
 
tunapasuana tu humu ndani wengi sio wanaunuzi
 
Hivi kama huna cha kuongea si bora ukanyamaza tu ? Kwani ni mpaka uchangie
 
Mcheki Ney wa mitego akufanyie mpango pale kwny ofisi za airtel.
 
Bosi uwe unasoma vizuri maelekezo nimesema black ist
 
Magari showroom Dar es Salaam yapo ya rangi unayohitaji ungefika ukachagua upendalo, sasa ikiwa hapa mwenye black Ist, isiyo D inamaana hutonunua .....
 
That's why nikasema D..... naukiona nimepost hapa means sitaki gari la kununua yard
 
That's why nikasema D..... naukiona nimepost hapa means sitaki gari la kununua yard

Jamaa yangu anayo # d tangu tokea ainunue ina mwezi mmoja ina rangi ya silver, bei yake 10.5mln? Kama utaitaka kuiona ni pm tjue tunafanyaje?
 
Nipe namba yako nikucheck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom