PAPA OBAMA
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 204
- 87
inahitajika IST nyeusi used kwa aliyetayari kwa ofa hiyo ani pm niko dar
sio mbaya ila mfuko wangu haurusu mkuu kwa hiyoNna ya silver haina mwezi barabarani bei ni 9.5 chini ya hapo sichukui wala usinipm!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
sio mbaya ila mfuko wangu haurusu mkuu kwa hiyo
ok nimekusoma mkuu labda nibadishe chaguo tu ni opt type tofautiKwa
ushauri!!possibility ya kupata IST ambayo ipo salama kwa pesa uliyonayo
ni ndogo,,cha kufanya jichange kaka usilazimishe mambo utaumia!!rahisi
ghali kaka!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums