karanga mbichi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 269 Reaction score 223 Jan 18, 2016 #1 kwa yyt mwenye ist No C au D inahitajika haraka.kwa waliopo daresalam tu. Piga cm namba 0713129049
I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,921 Reaction score 2,161 Jan 18, 2016 #2 karanga mbichi said: kwa yyt mwenye ist No C au D inahitajika haraka.kwa waliopo daresalam tu. Piga cm namba 0713129049 Click to expand... Ipo namba d Ist 2011njoo inbox tubonge
karanga mbichi said: kwa yyt mwenye ist No C au D inahitajika haraka.kwa waliopo daresalam tu. Piga cm namba 0713129049 Click to expand... Ipo namba d Ist 2011njoo inbox tubonge
karanga mbichi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 269 Reaction score 223 Jan 18, 2016 Thread starter #3 Poa poa nitext kwa no yangu hapo
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,431 Reaction score 46,168 Jan 18, 2016 #4 karanga mbichi said: kwa yyt mwenye ist No C au D inahitajika haraka.kwa waliopo daresalam tu. Piga cm namba 0713129049 Click to expand... Munawari kuya pande hii kuna mutu anataka kuliwa kichwa.
karanga mbichi said: kwa yyt mwenye ist No C au D inahitajika haraka.kwa waliopo daresalam tu. Piga cm namba 0713129049 Click to expand... Munawari kuya pande hii kuna mutu anataka kuliwa kichwa.
C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,080 Reaction score 3,769 Jan 18, 2016 #5 una sh ngapi kuna mmoja alitaka nimtafutie IST ya namba D kwa milioni Saba nikataka kumchapa vibao anyway nina mshkaji wangu anaitwa Munawar anauza magari ila kama huna hela atakwambia wewe ni PASUA
una sh ngapi kuna mmoja alitaka nimtafutie IST ya namba D kwa milioni Saba nikataka kumchapa vibao anyway nina mshkaji wangu anaitwa Munawar anauza magari ila kama huna hela atakwambia wewe ni PASUA
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,333 Reaction score 17,873 Jan 19, 2016 #6 C.T.U said: una sh ngapi kuna mmoja alitaka nimtafutie IST ya namba D kwa milioni Saba nikataka kumchapa vibao anyway nina mshkaji wangu anaitwa Munawar anauza magari ila kama huna hela atakwambia wewe ni PASUA Click to expand... Hahahaa kuna watu.wanapendaga kuchekesha namba D milioni 7?
C.T.U said: una sh ngapi kuna mmoja alitaka nimtafutie IST ya namba D kwa milioni Saba nikataka kumchapa vibao anyway nina mshkaji wangu anaitwa Munawar anauza magari ila kama huna hela atakwambia wewe ni PASUA Click to expand... Hahahaa kuna watu.wanapendaga kuchekesha namba D milioni 7?
B bunazi Senior Member Joined Nov 24, 2014 Posts 116 Reaction score 90 Jan 19, 2016 #7 Hata kama anauguza hupati kwa hiyo bei