Nadhani kwa faida ya wengi ungeweka details zote muhimi ikiwemo bei. Na bei ni muhimu sana. Mambo ya kuficha bei yashapitwa na wakati, utafikiri unauza bangi kumbe gari. Hata kwako ni usumbufu kwa sababu mtu mwingine ana milioni zake 4 atakupigia simu wakati wewe unataka 10