IST au Ractic inahitajika.

IST au Ractic inahitajika.

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,622
Reaction score
2,223
Ninahitaji gari 5 aina ya IST au Ractic kwa ajili ya biashara zangu. Namba iwe "D", odomoter iwe chini ya 100,000km. Isiwe na tatizo lolote.

Bajeti yangu milioni 7 cash.
 
Ninahitaji gari 5 aina ya IST au Ractic kwa ajili ya biashara zangu. Namba iwe "D", odomoter iwe chini ya 100,000km. Isiwe na tatizo lolote.

Bajeti yangu milioni 7 cash.
Duuuh hiyo cash ya milioni 7 ni kwa zote tano au? Maana hujadadavua mkuu
 
Ninahitaji gari 5 aina ya IST au Ractic kwa ajili ya biashara zangu. Namba iwe "D", odomoter iwe chini ya 100,000km. Isiwe na tatizo lolote.

Bajeti yangu milioni 7 cash.
Namba D, odometer chini ya 1k, bei 7m, ukipata kama ni nzima haina tatizo lolote kuanzia bodi mpaka injini nitag mkuu
 
Ractic 9M no D .imeendeshwa na mwanamke.haijawah kupata shurba zozote
Leta mzigo
 
nina Nissan fuga cc 3500, ipo vizuri sana namba DBC.
odometer km 89400
Bei milioni 7
Chukua hiyo mashine achana na baby walkers hzo
 
nina Nissan fuga cc 3500, ipo vizuri sana namba DBC.
odometer km 89400
Bei milioni 7
Chukua hiyo mashine achana na baby walkers hzo
Ww jamaa humtakii mema mwenzio, ukimuuzia hiyo fuga anaweza pata na ugonjwa wa moyo kabisa tukampeleka india ..
 
Ukipata kwa bei hiyo uliyotamka na gari haina tatizo lolote nami niambie mkuu
 
Mln 7 uko chini sana ....chukua hii Inauzwa 9.5m,Milage zake 71000,cc 1290

Ova
 
Attachments

  • IMG-20180113-WA0001.jpg
    IMG-20180113-WA0001.jpg
    71.2 KB · Views: 34
Mln 7 uko chini sana ....chukua hii Inauzwa 9.5m,Milage zake 71000,cc 1290

Ova
 
Agiza uone mkuu

Ova
hii hapa , alafu hyo DAM ni usajili wa mwaka 2014, yaani IST imesajiliwa 2014 ipo mkononi mwa mtu kwa miaka minne sasa alafu unauza mil 9.5 wakati huohuo kuagiza kutoka japani ni hyohyo 9.5
KUWENI NA HURUMA
 
Attachments

  • 1517134184613.png
    1517134184613.png
    65.9 KB · Views: 36
hii hapa , alafu hyo DAM ni usajili wa mwaka 2014, yaani IST imesajiliwa 2014 ipo mkononi mwa mtu kwa miaka minne sasa alafu unauza mil 9.5 wakati huohuo kuagiza kutoka japani ni hyohyo 9.5
KUWENI NA HURUMA
Sasa we unafikiri Huyo jamaa atapata ist kwa Mln 7 tena namba D.....
Hata hyo mtakaji awe n'a huruma kumpatia gari kwa namba hyo ni sawa n'a kupasuana tu......
Yard ist model hii Inauzwa 12.5m hadi 11.5m
Mtu anauza gari ya mkononi kutokana na alivyoitunza alafu....
Tatizo watu humu mnapost magari kutaka kuuza wengine mnataka faida ya kila gari upate Mln 2 hakuna biashara kama hyo sku hzii

we jamaa hata cjaelewa wamaanisha nn, by the way point yangu ni kuwa hyo IST uliosema mil 9.5 sio bei halisi, kwa maana tayari ipo mkononi mwa mtu kwa miaka minne. ndo nkakueleza kwa hyo 9.5 si bora uagize tu mpya
1517134997542.png
 
Kama ishu ni number D mkuu nakushauri vuka bahari hadi zenji. Nunua gari yenye number Z yoyote kule ikija huku kwenye kubadili number utapata hiyo D unayohitaji.
 
Number c kwa km 120k
Cc 1290
Price 7.5m
If you are serious tufanye biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom