Nendeni mkashitaki CAS ili Mo anyang'anywe hizo hisa. Uwekezaji wa Mo Simba umekuwa mwiba mchungu sana kwa Utopolo. Eti leo hii Haji amekuwa kipenzi cha watopoloUkweli anachokifanya Moo ni kuhakikisha watu ambao wanaweza leta upinzani wa yeye kufanya maamuzi ndani ya Simba waondoke wabaki mafala ambao kila anachosema wanaitika yes
Nkwambi alihoji moo analipa kias gan kiweka matangazo kwenye jezi akawekewa zengwe
Mo anasema anatoa bil 5 kila mwaka
Iv mapato yanaenda wap?
Pesa ya wadhamin inaenda wap?
Mauzo ya jezi yanaenda wap?
Hela ya caf inaenda wap?
Yanga juzi wametoa mapato na matumizi inaonekana wamepata faida japo ni kdg
Lini Moo atatoa mapato na matimizi ili tuone kweli anatoaga hela simba na tujue analipa kias gan kwa matangazo yake kwenye jezi
Moo nakwambia endelea kuona watu mafala wanakuvumilia sababu timu inafanya vzr ila ikikosea Simba ikayumba kwenye matokeo ndo utawajua Watanzania na utaeleza ukweli
Yanga nwashaur msikubali mwekezaji mmoja kuwen nao wawili au watatu ili kwenye maamuzi asifanye mmoja kuwe na kuhojiana
Simba wangekuwwpo wawekezaji wawili tungejua mapato na matumizi/ tungejua moo analipa kias gan kwenye matangazo na babra asingeifanya simba ya moo
Nimemaliza ila kaa mjua simba ni bomu ambalo halijalipuka
Tatizo wanaamini sana propaganda kuliko mikakatiAzam na utopolo mnateseka sana, yani bomu lilipuke leo hii mchakato umeshakamilika? Yani huyo mropokaji ndo mnamuaminia siraha yenu ya mwisho?
Huyo ata trend wiki hii baada ya hapo atapotea
Unakosea sana kuhusisha yanayotokea simba na timu zingine. Msemaji msitaafu ana mapungufu yake lakini katika aliyoyaongea kuna mengne ya ukweliAzam na utopolo mnateseka sana, yani bomu lilipuke leo hii mchakato umeshakamilika? Yani huyo mropokaji ndo mnamuaminia siraha yenu ya mwisho?
Huyo ata trend wiki hii baada ya hapo atapotea
Ya ukweli ni yapi?Unakosea sana kuhusisha yanayotokea simba na timu zingine. Msemaji msitaafu ana mapungufu yake lakini katika aliyoyaongea kuna mengne ya ukweli
Hata tukifungwa sisi watu wa football hua tunaelewa. Mpira unachezwa hadharani.Msimu ujao Simba ikifanya vibaya tu, huyu beberu ajiandae kurudi kwenye ukwaju wake au Singida United.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nimemaliza ila kaa mjua simba ni bomu ambalo halijalipuka
Mtu atoe cash b20 hafu we ujivunie mdomo tu hilo haliwezekani. Tupo na mo afanye anavyotaka si tunataka makombe na furaha tu. Hakuna team inagawa hela kwa mashabiki.
Ukitaka kumteka mtanzania uwe na pesa tu,Tanzania bans inafurahisha sana manara aliyekua kipenzi na source muhimu ya mashabiki wa simba kwa kila asemacho leo anaonekana mwehu
Acha ccm itawale milele
Eti "Mnapigwa!" Ulishawahi kununua hata soksi jozi moja kwa ajili ya mchezaji wa Simba?Kwa akili yako mo atoe b 20 hivi hivi. Mo anatupiga wana simba. Tunataka hesabu za kifedha sio kulalamika anapata hasara. Mbona yanga wanapata faida. Na simba wako juu zaidi yetu.