Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Benjamin netanyau akiweka hiocho kisasi kichwani mwake atakuwa hana akili Wapalestina wangapi wamekufa itakuwa huyo kaka yake Netanyau? Anachotakiwa Netanyau kuleta Amani na waarabu sio kuleta mambo ya chuki, chuki zake hazitosaidia kitu yaliyopita yamekwisha pita na njia tugange yajayo.this is super true.., netanyahu is a disaster...., bora angebaki tzipi livni...,
Maamuzi yake mengi ni ya kibabe.., i guess bado ana kisasi na waarabu kwa kumuua kakaake, yonathan(jonathan)
Watakubali kwa lazima ya Mtutu wa bunduki amani haitokuwepo Mashariki ya kati mpaka Palestina wawe na Nchi yao sijuwi itakuwa lini hayo?yap..., mm nlikua namkubali sana livni, alikua moderate, hawa mawaziri wakuu wa kike wa israel walisaidia sana foreign policy ya israel kukubalika na majirani zao..., mfano golda meir, alikua moderate..,
Ila netanyahu ni disaster, ka alivokua ariel sharon, ubabe tu.
Ni lazma wakubali kuelewana na neighbours otherwise natural isolation,
Si ndio poa awapende vipi waarabu au wewe unawapenda? majitu yanayosemekana yanaongoza kwa roho mbaya duniani kama huamini nenda kaishi arabuni ndio utajua.this is super true.., netanyahu is a disaster...., bora angebaki tzipi livni...,
Maamuzi yake mengi ni ya kibabe.., i guess bado ana kisasi na waarabu kwa kumuua kakaake, yonathan(jonathan)
Wafikiri amani middle east ni simple kama unavyofikiria?Benjamin netanyau akiweka hiocho kisasi kichwani mwake atakuwa hana akili Wapalestina wangapi wamekufa itakuwa huyo kaka yake Netanyau? Anachotakiwa Netanyau kuleta Amani na waarabu sio kuleta mambo ya chuki, chuki zake hazitosaidia kitu yaliyopita yamekwisha pita na njia tugange yajayo.
yap..., mm nlikua namkubali sana livni, alikua moderate, hawa mawaziri wakuu wa kike wa israel walisaidia sana foreign policy ya israel kukubalika na majirani zao..., mfano golda meir, alikua moderate..,
Ila netanyahu ni disaster, ka alivokua ariel sharon, ubabe tu.
Ni lazma wakubali kuelewana na neighbours otherwise natural isolation,
Wewe unavyofikiria tupe basi na mawazo yako si kuponda mawazo ya Watu . Lete Mawazo yako je amani itapatikana kivipi huko mashariki ya kati?Wafikiri amani middle east ni simple kama unavyofikiria?
Kitabia Wa Israil na Waarabu kitabia wanafana sana ingawa hawa Wa Israil kidogo wana Afadhali na wana utu kidogo wanao unaweza kufanya nao jambo na Urafiki nao ukafanikiwa.nadhani jamaa akitoka afu wapate mtu moderate, anaweza ku-normalize relation...,
afu yule dada alipelekea mahusiano mazuri kiasi kwamba turkey alikua ananunua silaha israel,, ila jamaa kuingia kavuruga kila kitu.., si unakumbuka flotela ilipovamiwa na marine commando wa israel wakawaua waturuki on board
among all current israel PMs Netanyahu is the best.this is super true.., netanyahu is a disaster...., bora angebaki tzipi livni...,
Maamuzi yake mengi ni ya kibabe.., i guess bado ana kisasi na waarabu kwa kumuua kakaake, yonathan(jonathan)
hata hayo atakayowaletea sasa yatapita kwa hiyo kuweni wavumilivu wakati this son of God akiwashikisha nidhamuBenjamin netanyau akiweka hiocho kisasi kichwani mwake atakuwa hana akili Wapalestina wangapi wamekufa itakuwa huyo kaka yake Netanyau? Anachotakiwa Netanyau kuleta Amani na waarabu sio kuleta mambo ya chuki, chuki zake hazitosaidia kitu yaliyopita yamekwisha pita na njia tugange yajayo.