Israeli: Taifa teule

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,094
Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.

 
Kumhusisha Mungu na mambo ya kipumbavu kama hayo huwa mnakosea sana.
Kwahiyo unataka tukuamini kuwa mauaji na ukatili unaoendelea huko ni mipango ya Mungu na huyo Mungu anafurahi kuona yanayoendelea?

Shame on you!.
Mungu kawapa Israel hilo eneo. Wengine waondoke. Tanzania mbona tuliwafurusha akina iddi amin walipovamia?
 
Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.

View attachment 2244318
ni ukweli kabisaa hawa jamaa ile ni ardhi yao na ni wateule. kum,buka hawa jamaa ni waarabu ila mungu kawatunukia ubora wa kufikiri, Lugha na nguvu kupita waarabu wote. 1948 walikuwa hawana jeshi la anga walimpiga misri na kumshilisha adabu. 1967 misri aliomba waarabu wote wampige mane Israel. Israel aliwapiga wote kwa siku sita tuu na kuwateka mashamba mito na ardhi zao. sasa hivi leo hii wapo syprus wakifanya mazoezi makali ya kijeshi hatujui nani atalizwa mwaka huu mwezi wa saba.
 
Mods niliweka title hivi "Israeli:Taifa teule!!"

Sasa mmebadilisha; mmeondoa nilichodhamiria kukifikisha kwa hadhira.
Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.

View attachment 2244318
 
Ivi wa palestrina hawana Jeshi la kukabiliana na hao vibaka wanao jiita taifa teule..?

Inaskitisha sana aiseee.! Ila mimi na amini ipo siku Israel itafutika kwenye Ramani ya dunia .

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…