Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,538
- 30,089
Kwi kwi kwi!
Kimada wa padri utamjua tu!
Mi naomba ushahidi! Eti wewe unishike mkono unipeleke!
Mchukue tedo! Yeye bado hajapata bwana kama wewe!
Hii Sentensi imenifanya nicheke, manake sijaona mtu anayejadili kuhusu hiyo Printa..
Zaidi kila mtu ameshupalia kuwasifia tu waisrael, sisi ngozi nyeusi bado sana..
Sasa weka iman pemben Wayahud IQ ipo juu kulikoo jamii yoyote ile ya watu. Ata ukiangalia orodha yaa wanasayansiI mashuhuriI dunian walioshinda tuzo za nobel wayahud wanaongozaa japo wao ni kundi dogo.
nyie fikirien bik iraa 70 tu chinn yaa mtende
Mada za muislael huwa zinaleta malumbano flani hivi sijui kwanini?
exactly!! Ubarikiwe na weweNa ijulikane wazi kuwa, wale wote wanaomtumikia Mungu wa Israeli (Jehovah), wanakuwa na upendeleo wa kiungu (Divine Favour) kiasi kwamba maadui zao hufanyika kuwa mikia na wao kuwa vichwa siku zote, katika Jina la Yesu. Amen
Sasa weka iman pemben Wayahud IQ ipo juu kulikoo jamii yoyote ile ya watu. Ata ukiangalia orodha yaa wanasayansiI mashuhuriI dunian walioshinda tuzo za nobel wayahud wanaongozaa japo wao ni kundi dogo.
nyie fikirien bik iraa 70 tu chinn yaa mtende
unasahau kuhusu kufufuka kwake na pia alikuja kwasababu hiyo hiyo...sio mungu anakaa tu uko alipo anaagiza watu wampiganie halafu watu wenyewe wanapigwa na ka nchi kadoogo....Jesus Walked the Talk
Hilo ni taifa teule la Mungu
NEXTLEVEL hiyo