utawajua tu wazee wa kuchimbua bible, wakiskia Israel "mb" zinawasimama! na ni heri hii habari imeletwa hapa hoja mchanganyiko kuliko science and tech. hicho kiprinta hebu ulizeni kinauwezo wa kuchapa page moja kwa muda gani...ni kichekesho! kickstarter kuna maproject kibao yenye akili, ije kuwa kiprinter cha kitoto hicho, sioni practicality yake!

Na libarikiwe taifa lile..
CYBERTEutawajua tu wazee wa kuchimbua bible, wakiskia Israel "mb" zinawasimama! na ni heri hii habari imeletwa hapa hoja mchanganyiko kuliko science and tech. hicho kiprinta hebu ulizeni kinauwezo wa kuchapa page moja kwa muda gani...ni kichekesho! kickstarter kuna maproject kibao yenye akili, ije kuwa kiprinter cha kitoto hicho, sioni practicality yake!
CYBERTE
Nadhani hujaelewa. Printer tofauti kabisa na printer tunazotumia hivi sasa. Hii inakuwa kama toy car inakwenda back and forth juu ya karatasi huku ikimwaga mandishi ya wino.