mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
unajuaje ni shoga ausiyo shogaKama ni fact basi ni proved Mungu anasapot ushoga
Mambo wanayofanya hoa jamaa zako ni ujinga kaangalieunajuaje ni shoga ausiyo shoga
Mungu mnasema aliteketeza sodoma kwa ushaga , mbona hao wanaufanya hawapati adhabu?unajuaje ni shoga ausiyo shoga
Ni kweli kabisa, Katika mwaka wa 33 W.K., taifa la asili la Israeli liliacha kuwa taifa teule la Mungu wakati lilipomkataa Masihi, ambaye ni Mwana wa Mungu.Habari za muda!
Kwa mujibu wa maandiko, Mungu alilichagua taifa la Israeli kama taifa lake teule, akilipa amri zake kwa njia ya maagano, ili wazifuate na wasiziasi.
Pamoja na hayo, Israeli waliasi mara nyingi. Bado Mungu alikuwa na imani nao, akawapelekea agano tena kupitia Yesu Kristo, bado wakamkataa.
Hapo Mungu hakuwa na budi ila kuuhamisha ufalme na kuupeleka taifa jingine. Uteule wa taifa la Israeli uliondoka punde baada ya kumkataa Yesu na kumtoa ili asulibishwe na Pilato.
Israeli ya kimwili ilishaisha, kwa sasa, Mungu anamuhesabu ni Myahudi mtu yeyote anayeamini Yesu ni BWANA kwa kukiri kwa kinywa. Hii ndiyo Israeli ya kiroho, ambayo Mungu yupo nayo.
Israeli ya kimwili imekufa ni taifa kama mataifa mengine tu, si wateule TENA wa Mungu.
Regards!
Hapo unaitukana mpaka dini yako... maana ukristo na uislamu vyote vimetokea kwenye uyahudi.. kina Musa na wengine wote wa design hizo dini yao ni JUDAISMKama ni fact basi ni proved Mungu wa wanaisreal anasapot ushoga
Watapata tu, sheria inasema tusimuhukumu mtu kwakosa ambalo halikuwepo wakati linatendeka,hivyo kama wanafanya sasa na sheria inawakataa , wataadhibiwa tuMungu mnasema aliteketeza sodoma kwa ushaga , mbona hao wanaufanya hawapati adhabu?
Ukweli ni kwamba zama hizi hakuna miujuzi wala hukumu za hapo kwa hapo .Watapata tu, sheria inasema tusimuhukumu mtu kwakosa ambalo halikuwepo wakati linatendeka,hivyo kama wanafanya sasa na sheria inawakataa , wataadhibiwa tu
Sasa ushoga na Mungu na kusupport Israel mbona hakuna connection kiongozi.Kama ni fact basi ni proved Mungu wa wanaisreal anasapot ushoga
unataka kumchokoza aya-tollahHabari za muda!