Israeli imeamua kuitwaa Gaza yote

Israeli imeamua kuitwaa Gaza yote

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,460
Reaction score
27,062
Wakazi wa Gaza wapatao milioni mbili (2,000,000) wanakaa katika maeneo ambayo majeshi ya Israeli hayapo. Katika ramani chini ya post, alama nyekundu ni maeneo ya Gaza yaliyokaliwa na Israeli.
FB_IMG_1746615372030.jpg

Tar 5 jumatatu Netanyahu alitangaza operation mpya inayofuata juu ya Gaza. Operation hii itatwaa maeneo yaliyobakia na kuwaondoa wakazi milioni mbili na kukamilisha kuikalia Gaza yote.

Operation hii imekuja baada ya Hamas kuomba mazungumzo na Israeli ya kusitisha vita na kuwaachia mateka wote. Israeli ikawaambia sawa lakini ili azimio hilo litekelezeka Hamas inapaswa iwaachie mateka wote waliobakia na kuvunja kundi lao na kusalimisha silaha. Hamas wakataa pendekezo hilo la Israeli na kusema wapo tayari kuwaachia wafungwa kwa sharti la Israeli kujiondoa Gaza.

Mahamud Abbas

Rais wa mamlaka ya Wapalestina alijitokeza hivi majuzi na kuwaita Hamas watoto wa mbwa walioiletea Gaza taabu na kuleteleza majanga kwa raia. Katika hotuba yake kali alidai kikundi hicho cha Hamas kiwaachie mateka ambao bado inawashikilia, kusalimisha silaha, na kutoa udhibiti wa Gaza ili kumaliza vita na Israeli.

Akasema tena kwamba, "Hamas imetoa sababu ya jinai kwa [Israeli] kutenda uhalifu wake katika Ukanda wa Gaza, sababu ya mateka," alisema. "Wana wa mbwa, aachilieni tu yeyote ambaye mnamshikilia ili yaishe. Ondoeni sababu ili vita vikome." Abbas pia alisema Hamas lazima "ikabidhi" jukumu la Gaza na silaha zake kwa mamlaka ya Palestina (Palestina Authority), na kubadilika kuwa chama cha siasa.

Hamas na Fatah waliingia katika mgogoro wa kisiasa toka 2007 Hamas waliposhinda uchaguzi wa kidemokrasia Gaza. Fatah chama cha Abbas kilijitoa kufanya kazi na Hamas kwasababu ya sera kali za Hamas, hivyo ukatokea mpasuko kati ya Wapalestina wa Gaza na wale wa ukingo wa magharibi wa mto Yordan (west bank). Hawapatani wala kuoleana, maana Wapalestina wa Gaza walisimama katika msimamo mkali wa kutaka ukombozi kibabe. Hivyo wakajiweka chini ya Hamas iliyotaka Israeli sio tu ijiondoe katika maeneo ya Palestina bali iondoke mashariki ya kati ama iangamizwe kabisa isiwepo. Msimamo huu upo kwa Hezbollah na Iran pia. Hivyo gafla Hamas ikabadilika kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa kundi la kijeshi lililodhibiti Gaza yote kwa mkono wa chuma na kuanza kui provoke Israeli. Israeli na Marekani wakaiweka Hamas katika vikundi vya magaidi na nchi nyingi zikiwemo za Kiarabu nazo zikafanya hivyo, Hamas ikatengwa lakini Iran na Hezbollah wakaipokea kwa mikono miwili. Sasa Hezbollah imenyamazishwa kwa kudhoofishwa na hairuhusiwi kuingilia mambo ya Palestina kulingana na mkataba wa amani; na sasa ipo katika mvutano na serikali ya Lebanon kwa kinyang'anyiro cha kuvunjwa na kukabidhi silaha zake kwa serikali ya Lebanon. Uthubutu wake dhidi ya Israeli umevunjika kwa kiasi kikubwa. Amebakia Iran baba yao ingawa naye anakabiliana na vikwazo na tishio la kushambuliwa.

Hivyo tukio la october 7 ni matokeo ya mzozo wa Hamas na Israeli wa siku nyingi. Harakati ya utekaji ilikuwa na madhumuni mawili makuu. Moja, Israeli iwaachie mateka wote wa Palestina, pili iache operation zake za kijeshi katika maeneo ya Palestina, tatu kutafuta huruma za kimataifa ili waibane Israeli na kuundwa kwa taifa la Palestina. Badala yake jambo hili limegeuka na kuwa maafa kwa Gaza yote. Hamas wamekumbuka shuka asubuhi wakitaka usitishwaji vita lakini wamechelewa, hiyo ndio sababu Abbas akawaita ni wana wa Mbwa.

Mpango wa Waarabu wa kujenga Gaza umeshindwa

Trump baada ya kuapishwa kuwa rais mnamo january 21 alidai anataka kuitwaa Gaza maana imeharibiwa haifa kwa maisha ya binadanu, kwamba ataijenga na kuufanya mji mzuri na wa amani duniani. Ila tu Wapalestina waondoke hapo wahamie Jordan na Misri na kurejea baada ya miaka 5. Hamas na umoja wa Waarabu wakakataa pendekezo hilo. Wakaamua kuijenga wenyewe bila kuwaondoa Wapalestina, ila Trump akawaambia mtaijengaje huku Hamas bado wameshikilia mateka wa Israeli na Israeli wapo hapo?. Hivyo wakakubaliana Hamas iachie mateka kisha ivunjwe na Israeli iondoke Gaza ndipo waijenge. Israeli ilikakubali lakini Hamas wakakataa mapendekezo hayo. Waarabu wakatenga $50 Bilion za ujenzi wa Gaza na wakapeleka zana za ujenzi na makatapila ili kuanza kujenga. Israeli imeharibu vifaa vyote vya ujenzi na kuweka vizuizi. Maana hoja ilikuwa Hamas ivunjwe lakini imegoma na kuchukua msimamo wa awali.

Waarabu wameshindwa na kunyamaza kimya, na sasa pendekezo la Trump lililopokelewa kwa mikono miwili na Netanyahu la kuitwaa Gaza yote linafanyiwa kazi. Netanyahu ameamuru wanajeshi wa ziada 60,000 wakajaze nafasi ya 40% ya ardhi ya Gaza iliyobakia.

Alama nyekundu hapo ni maeneo ya Gaza yaliyokaliwa na majeshi ya Israeli. Na rangi nyeupe ni makazi ambayo wana Gaza wanaishi kwa sasa na Hamas wakiwa wamejificha hapo. Picha ya kushoto ni march 18, 2025 na picha ya kulia ni march 25/2025.

Na wanapotwaa maeneo hawaachi kitu, wanabomoa majengo na kuyasawazisha kama shamba.

FB_IMG_1746615372030.jpg

Je Hamas ni pando la utanukaji wa Israeli? Au ni wana wa Mbwa wasiojielewa?
 
Wakazi wa Gaza wapatao milioni mbili (2,000,000) wanakaa katika maeneo ambayo majeshi ya Israeli hayapo. Katika ramani chini ya post, alama nyekundu ni maeneo ya Gaza yaliyokaliwa na Israeli.
View attachment 3326894

View attachment 3326890

Je Hamas ni pando la utanukaji wa Israeli? Au ni wana wa Mbwa wasiojielewa?
Walifanya makosa huko nyuma kwa kuiacha Gaza hadi imekua kituo cha ugaidi. Walipaswa kuichukua tangu mwanzo ili iwe sehemu ya Israel.
 
Kwa kuwa Taifa lililokuwa teule kabla ya kumuasi Mungu walipewa eneo la Wapalestina na Marekani mwaka 1945 (baada ya vita kuu ya pili ya dunia)
Nafikiri anachokifanya Trump ni muendelezo tu ya walichokifanya Wamarekani mwaka 1945 - kuwapokonya Wapestina Ardhi yao
"SIKU ZA MWISHO ZITAKUWA NGUMU SANA"
 
Kitendo hicho kimemkasirisha sana Trump kwani kuikamata Gaza ni Ndoto yake aliyoota usiku fulani. Kasikia hivyo kaamua aendelee za issues zake za Kimarekani.. ila Israel itasimama hadi Kiama
 
Hamas wanajutia kitendo Chao cha October 7
Mioyoni mwao wanaumia sana.. kuna siku mmoja wao alishindwa kuvumilia akasema angejua yatakayokuja tokea ndio hivyo asingejaribu kabisa kuvamia Kibutz... majuto ni mjukuu... alipotangaza wenzake wakakanusha sio msimamo wa chama bali ni binafsi yake jamaa... ila wanajua haswa big mistake katika life yao.. Iran too Raisi wao alimuchana live Ayatollah kuwa vita mwishowe ni hasara tu and wakikomalia vita ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Ayatollah hakuamini ile kilichomkuta Assad akaona kweli..na Kusikia Trump kapita akakushanya matukio akacha misimamo maana alijua hata Allah hayupo.. Iran wanajua kabisa Allah ni scum
 
Back
Top Bottom