Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Israel yawadunga sindano za sumu Wapalestina.
Askari magereza wa utawala wa Kizayuni wa Israel huwadunga sindano zenye virusi hatari mateka Wa
kiislamu wa Kipalestina kabla ya kuwaachilia huru. Duru za habari zinasema kuwa, Waislamu hao wa
Kipalestina hudungwa sindano zenye virusi vyenye maradhi ya saratani ya tezi ya kibofu na ini, na baada ya
muda mfupi hufariki dunia. Wakati huohuo, Wafungwa hao wa Kipalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za
utawala haramu wa Israel wamemuandikia barua Kafiri Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel na
kumtaka utawala wake uwatambue rasmi kuwa wao ni mateka wa kivita wa kiislamu. Hivi sasa kuna
Wafungwa zaidi ya elfu tano waislamu wa Kipalestina kwenye jela za Mayahuudi na wengi kati yao
wanakabiliwa na hali mbaya ya kiafya. chanzo.
https://www.facebook.com/photo.php?...52029186.26486.100002214543445&type=1&theater