figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,180
israel wamesema ile sehemu walioishambulia ilikua imehifadhiwa siraha kutoka iraq zailizo kuwa zinapelekwa kwa wahesbora. mia
waislam na wakristo,ndo vita ya dunia ijayo
Kweli kuna haja ya kusahihisha upya mitihani form 4?
Hakuna kitu kama hicho!Waarabu watapigwa na myahudi akisaidiwa na USA!Naamini maneno ya unabii wa Biblia.Hatimaye utasimikwa utawala mmoja chini ya mpango maalum wa NWO nao utakuwa ndiyo ishara ya mwisho wa tawala za binadamu.Chunguza maandiko.Hakuna cha Mchina Mrusi wala Iran!Neno lazima litimie ndio maana Israel haogopi!
Mkuu unapotoa hoja kama hii inapendeza pia utoe na ushahidi wa andiko, mimi nimesoma bible na kwa bahati mbaya au nzuri sijakutana na andiko nlinalosema hayo ulioyasema,tunaomba ushahidi tafadhali,
israel wamesema ile sehemu walioishambulia ilikua imehifadhiwa siraha kutoka iraq zailizo kuwa zinapelekwa kwa wahesbora. mia
vita kati ya nani na nani?haya kazi inaendelea............hii vita naona inapikwa kwa muda mrefu sana. Sijui itaiva lini, ila inaonekana haina muda mrefu sana.
Hakuna uchokozi wowote,Serikali ya Asad ni serikali ya kigaidi lazima ishambuliwe kwa nguvu zote!hii ni zaidi ya uchokozi kwa serikali ya syria na wananchi kwa ujumla.
Nakuunga mkono kwa hili, ni ukweli kuwa kutakuwa na regional war pale midle east. Japo wengi hii vita imekaa ki-ushia na ki-usunni ambapo Iran, Iraq na Lebanon kupitia Hizbollah chini ya Hassan Nasrallah wakimuunga mkono zaidi Bashar al Assad.
Ila kwa hiyo explosion, kuna dalili ya amani kutoweka kabisa pale midle east kwa sasa.