Israel yashambulia Syria kwa mara nyingine tena!

Gomez Luna

Senior Member
Mar 13, 2017
187
205
Kwa Mara nyingine tena Israel imefanya mashambuliz ya anga ndani ya Syria kwenye eneo la Quneitra.

Inadaiwa wanajeshi watatu wamekufa kwenye shambuliz hilo.
5e64f2a058ea0bcba26df616417f820d.jpg
 
Jaman ivi warabu wote kweli dunian wako bilion mbili wanafindwa kuwapiga hawa wayahudi wasiofika hata milion tisa haya ni maajabu aisee
Hyo vita iache hivyo hivyo.ukiichunguza sana haina tofauti. Na makaburi ya Tanzania.aliyokataa magufuli kuyafukua.
 
Assad achia kiti, you have failed. kubali matokeo kuepusha damage zaidi kwa wananchi wako
 
Umuondoe kwa kigezo kipi then umupeleke wapi na umuondoe wewe kama nan kwa mamulaka gan uliyonayo kwan wewe ndo ulimuweka hapo alipo
Naomba ufahamu kuwa Wananchi ndo wenye mamlaka ya mwisho juu ya serikali yao. Huyo aliyemuweka hapo kafanya hivyo kwa mamlaka aliyopewa na wananchi , hivyo wananchi wanahaki ya kudai aondolewe kama wanaona hana sifa tena ya kuwaongoza.Katiba ya nchi ndo inawapa haki hiyo. Kama mteule huyu angekuwa anafanya kazi binafsi ya Huyo ambaye angekuwa amemuweka hapo, nadhani haya yote yasingekuwepo ndugu yangu Nanyupu.
 
Bora umwambie ww huyo.
 
Back
Top Bottom