Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
Ndege vita za Israel zimeshambulia jeshi la Syria kwa kurusha makombora mawili kutoka eneo la Golan.
Tukio hilo lilitokea katika mkoa wa Quneitra ambapo makombora hayo yalirushwa toka kwenye ndege hizo na kuharibu vifaa kadhaa vya jeshi la Syria japo mpaka sasa haijafahamika ni vifaa gani vilivyoharibiwa.
Chanzo cha shambuliz hilo inaelezwa ni kutua kwa roketi kwenye ardhi ya Israel kutokea eneo la Golan.
Source: Sputnik