son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 686
- 1,781
S.G Naim Qassim aliwambia watazuia rockets lakin drones lazima ziwarambe watake wasitake na wenyewe watajichagulia pa kupiga ndio unaona viwanda vya silaha saiv ndio wanavinyoosha balaaTHAAD itakuwa imewekwa kulinda nyumba ya benjamin tu au!!!!
Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon.
Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel.
Israel hawajawahi kupata changamoto kama vita yao na hezbollah.
Hadi sasa hivi wanajeshi 777 wamefariki na zaidi ya 200 wamejeruhiwa huku mashambulizi ya drones na makombola yakizidi siku baada ya siku israel.
Je hivi vifo vimezuia mashambulizi yasiendelee!?
Vipi Iran yale masaa bado?Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon.
Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel.
Israel hawajawahi kupata changamoto kama vita yao na hezbollah.
Hadi sasa hivi wanajeshi 777 wamefariki na zaidi ya 200 wamejeruhiwa huku mashambulizi ya drones na makombola yakizidi siku baada ya siku israel.
Pole sana,ninyi bomoeni majengo ila Hizbollah wanaua wanajeshi.Acha propaganda kijana, Beirut inakuwa next Gaza ndani ya miezi 2 ijayo, na Hezbollaah viongozi wao na wana mgambo wanaisha
Huyo Mungu ni USA,FRANCE,GERMANY,UK!??Yani mnapambana na kanchi Kigamboni kubwa miaka na miaka na bado mnashindwa.
Kwanini tusiamini mnapambana na Mungu?
Wewe ulitakaje? Kilicho wazi ni magaidi yanazidi kupungua duniani na kuwahi bikra huko ahera. Hiyo kazi Israel kaiweza almost kila week gaidi mmoja anawahishwa kuzimu.Yani mnapambana na kanchi Kigamboni kubwa miaka na miaka na bado mnashindwa.
Kwanini tusiamini mnapambana na Mungu?
Hawajaanza kuisha leo ila bado wanapambania haqqi zaoAcha propaganda kijana, Beirut inakuwa next Gaza ndani ya miezi 2 ijayo, na Hezbollaah viongozi wao na wana mgambo wanaisha
benjamin analala pangoniTHAAD itakuwa imewekwa kulinda nyumba ya benjamin tu au!!!!
Huyu hapa mwenyewe alishasema hawezi kufa chini ya tunnels au kitandani amelala mumemsaidia kufika malengo yake
Hawajaanza kuisha leo ila bado wanapambania haqqi zaoAcha propaganda kijana, Beirut inakuwa next Gaza ndani ya miezi 2 ijayo, na Hezbollaah viongozi wao na wana mgambo wanaisha
Wewe usie kua gaidi utaishi milele hongeraWewe ulitakaje? Kilicho wazi ni magaidi yanazidi kupungua duniani na kuwahi bikra huko ahera. Hiyo kazi Israel kaiweza almost kila week gaidi mmoja anawahishwa kuzimu.
mmmh washafika waisrael 777 waliouawa? source? maana juzi nimesoma mahali kwamba ni around 100Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon.
Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel.
Israel hawajawahi kupata changamoto kama vita yao na hezbollah.
Hadi sasa hivi wanajeshi 777 wamefariki na zaidi ya 200 wamejeruhiwa huku mashambulizi ya drones na makombola yakizidi siku baada ya siku israel.
View attachment 3141234
Hamas mpaka tarehe saba mwezi Jana walipiga teli avivu na viunga vyake ili kuwafanya mazayuni warejee kaskazini mwa Ghaza maana walijiondoa baadhi yao na kweli wakarejelea hatimae wamawafyeka kila leoMiezi ya mwanzoni Hamas waliweza pia kurusha rocket, now hamn kitu.
Naunga mkoni Mzayuni apigwe ila wapigaji wajipange pia.
Fak zionist and their supporters
Hii ndio point kuliko zote tuwe na akiba Zayun mtu mbaya saanaa ana namna zake anazijua mwenyeweMiezi ya mwanzoni Hamas waliweza pia kurusha rocket, now hamn kitu