Dunia nzima wanalaani hata UN nao safari hii nao wamelaumu mauwaji ya watoto na wasio na hatia na wewe hayawani unafurahia, msiba kwa mwenzio ila kuna siku utapiga hodi kwako
mkuu kama una akili omba mods wafuge huu uzi maana huo sio kama mpira useme ni ushabiki.
_samahani kwa ushauri huu maana kuna roho zimewatoka watu pasi wao kupenda