MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,623
- 42,600
Israeli ni Taifa teule la Mungu kama huamini jinyonge.
Siamini kama JF kuna mjinga wa kiwango hiki."ISRAEL NI TAIFA TEULE" hutaki kunya boga
Usitake tuanza mjadala mwingineRudi tuition huijui biblia,kama vipi tangua maandiko matakatifu yaliyoandikwa kwenye biblia.
Amini tupo wajingaSiamini kama JF kuna mjinga wa kiwango hiki.
Dalili tu ya Bangi hiyo umevutaaaa weee ukaona ujifurahishe pumbavu.Akili yako ina funza.
Wapalestina wanavyokong'otwa huko gaza ndio kunakufanya useme Israel sio taifa teule?. Unahitaji muda zaidi kutafakari hili, munkari wako kwenye wapalestina kuuliwa kama kuku kusikufanye useme Israel sio taifa teule. Kaisome biblia vzr (kama wewe ni mkristo). Kama sio mkristo, achana na hy batam bro, utaishia pabaya.ISRAEL SIO TAIFA TEULE
Natumaini mu wazima wote.
Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kwenye mambo mbalimbali. Leo nyundo yangu itagonga kwenye hii kauli kwamba Israel ni taifa teule na atakayeilaani Israel naye atalaaniwa pia atakaeibariki naye atabarikiwa. Ila kwanza nitoe pongezi zangu kwa Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa nchi yetu. Ninafurahishwa pia kwa hatua kadhaa anazochukua ili kuweka mambo sawa. Kumsimamisha kazi fedhuli Sabaya ni jambo lililonifurahisha kuliko yote yaliyowahi kufanywa na marais wa nchi hii.
Ndugu Sabaya ni mfano halisi wa mtu katili.. wengi wetu ni wahanga wa ukatili wake. Kwa asiyeelewa vizuri kiwango cha ukatili wa Sabaya akatazame movie ya Idd Amin ili kujua kiasi cha ukatili kwasababu hakipishani sana na kina Idd Amin na Malyamungu. Lakini sijafurahi Mheshimiwa Polepole kutolewa kwenye uenezi CCM. Ali-fit sana pale. Anyway, CCM ni kubwa kuliko mtu. Kidumu chama cha mapinduzi! Zidumu fikra za mwenyekiti.
"ISRAEL NI TAIFA TEULE" ni kauli maarufu sana kwenye vinywa vya waumini wengi wa dini ya kikristo. Mimi ni mkristo na ninaamini katika biblia na pia naamini Yesu Kristo ndo masihi aliyetumwa afe kwa ajili yetu tupate kuokoka. Lakini ninapinga kwa nguvu zote kwamba Israel ni taifa teule kwamba atakayalilaani atalaaniwa na atakayelibariki atabarikiwa. Kwangu mimi ni upumbavu uliotukuka kuamini hivyo. Msingi wa hoja ya wakristo wengi katika hili upo kwenye biblia kitabu cha Mwanzo.
Kuna wakati Mungu alimbariki Ibrahim na Yakobo (Israel) na kuwaahidi atabariki hadi vizazi vyao. Hili ni sawa kwasababu Mungu ni mwema na mwenye upendo na hubariki watu wake. Kila binadamu anapozaliwa hupata zawadi ya kipaji fulani kutoka kwa Mungu. Kila mmoja wetu ana kipaji chake. Na ukimcha Mungu hukupa zawadi nyingi zaidi. Kwa kusema hivyo ni kwamba Yakobo ambaye baada ya kupata baraka zake alibadilishwa jina na kuitwa Israel alipata baraka zake kama ilivyo binadamu wote.
Pamoja na baraka za Mungu bado haitufanyi tuwe wateule na wengine wasiwe wateule. Mungu hutupa baraka zake bila kujali kama tutakuja kukiuka maagizo yake au la. Kwahiyo nje ya baraka kuna maisha mengine yanaendelea. Waisrael hawana uteule wowote ni kama walivyo watanzania, wacongo au taifa lolote lile. Ninaandika haya kwa uchungu mno kwasababu ya matendo maovu wanayoyafanya dhidi ya wapalestina halafu mpuuzi mmoja anatetea kwa kusema ni taifa teule.
Hawa viumbe hawana uteule wowote ule. Kwanza kihistoria ni watu wa kutangatanga sana matokeo yake wakajikuta "hawana kwao". Biblia inaonyesha kwamba baba wa Israel aliyekuwa akijulikana kama Yakobo mwanzoni alitenda dhambi ya uongo kwa kuchukua baraka za mzaliwa wa kwanza kihuni ambapo baada ya lile tukio huyu mtu alikuwa wa kutangatanga hadi leo hii. Na kama Israel ni taifa teule ikawaje wakaachwa watawaliwe na warumi na hata karne iliyopita walichomwa moto kikatili na Adolf Hitler. Nimalizie kwa kusema kwamba kinachoendelea GAZA ni ushetani uliovuka mipaka yote ya kistaarabu na wa kulaaniwa.
Haiwezekani wapumbavu fulani katika kivuli cha ukristo wakawa na utetezi dhaifu kwamba taifa teule lina haki ya kuua watu kama nzige kisa mwasisi wao kuna kipindi alibarikiwa. Mungu wetu ni wa upendo na asihusishwe na unyama unaofanywa na wayahudi. Pia wakristo wenye kiherehere cha kuwatetea wayahudi watambue hao ndo walimuua Yesu kikatili.
Pilato aliyekuwa hakimu alitaka kutumia nafasi ya kusamehe mfungwa mmoja ili Yesu asalimike ila hao "Taifa teule" wakaona bora jambazi Baraba aachiwe ili Yesu asulubiwe. Na "taifa teule" sio wakristo hivyo hata wenyewe wanashangaa baadhi yetu tunavyoshoboka.
"Mimi siamini kama kuna Mungu" hii sentensi itaku-costMimi siamini kama kuna Mungu na wala siamini katika dini yoyote hii ikijumlisha hata dini za asili za mababu zetu lakini kwa reference ya Bible kama unaiamini basi usiiamini vipande upendavyo na kuacha usivyovipenda kwa sababu zako binafsi, Bible inatanabaisha ya kuwa Israel ni taifa teule la Mungu.
Wapalestina wanavyokong'otwa huko gaza ndio kunakufanya useme Israel sio taifa teule?. Unahitaji muda zaidi kutafakari hili, munkari wako kwenye wapalestina kuuliwa kama kuku kusikufanye useme Israel sio taifa teule. Kaisome biblia vzr (kama wewe ni mkristo). Kama sio mkristo, achana na hy batam bro, utaishia pabaya.
Kutangatanga kwao ni maandiko yanatimia ...... ilikuwa lazima wachukuliwe utumwani. Walipokuwa utumwani ndio wapalestina wakajitwalia nchi yao, wenye nchi wamerudi bro, safisha safisha inaendelea.
Na usichojua ni kwamba vita ya 3 ya dunia kitovu chake ni Jerusalem, Israel. Hata biblia imetabir hilo na dalili zimeanza kuonekana.
Wayahudi wana dini yao,sio wakristo ila wanaheshimu dini nyingine mbili zilizo pale Jerusalem yaani Islam na Christian.
Pili kitu wanachopigania Wayahudi ni sawa na watu weusi waliokuwa wakitawala Misri lakini wanaondolewa na wavamizi waarabu .
Tena sio hapo tu na kaskazini ya Afrika ilikuwa ya watu weusi.
Lakini labda jambo la msingi si wapalestina wala Wayahudi ndio wamiliki wa mwanzo wa eneo hilo.
Kulikuwa na wazawa Wafilisti na makabila mengine.Hao Wayahudi na Wapalestina ni kizazi cha Ibrahim muhamiaji kutoka Persia au Mashariki ya Iraq ya leo.
Ilikuwa kipindi cha kale. Lakini agano jipya kuua ilikuwa dhambi, hatukuona kabisaa kuna Vita za kuuana zaidi ya wale wasioamini wakiwaua walioamini.Kasome Biblia
Kuna wakati Mungu anawatuma Waisrael waende kuua maadui wanaomdharau na kutaka kulitesa Taifa lake kuanzia,
Watoto
Wake
Waume
Wazee
Vibibi
Mbuz
Kuku
Bata
Kondoo
Kila kituuu yaan wauwe kila kitu.
Mungu mwenyewe aliua wazawa wakwanza wakila familia ya wamisiri. Akaua Mtoto wa farao
Kwa ufupi, Mungu aliyekuumba, anayohaki ya kukufanya anavyotaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]