mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,254
- 4,466
Kutengeneza kitu kinachoitwa, A strong union and in order to do something with that solidarity, huwenda ndilo jambo gumu sana hapa Dunian
Nimeshindwa kuielewa Dunia, hasa kwenye jambo hili, pale watu wengi wanapokubali kunyanyaswa, kubagazwa na kikundi cha watu wachache tu, na kundi la wengi wakaishia kulalamika tu bila njia ya kutokea.....?
Hii inakuwaje?
Kwamba CCM ambayo miongo na miongo imekuwa ikilalamikiwa na Watanzania waliowengi kwamba, imekuwa ikiinyonya nchi na kugawa maliasili zake kwa wageni kwa bei ya kutupwa, huku mafisadi yakiendelea kutamba kwamba hakuna wa kuwatisha wala kuwazuia kupora kodi za wananchi
Wananchi ambao ni wengi, wamekosa kabisa huo umoja ili kuamua kwa pamoja kuiondoa ccm kwa kura za hasira? Ni nani mwenye maarifa, kibali na hekima iliyopita kimo cha kibinadamu ili awaunganishe Watanzania waliokata tamaa ya nchi yao ili kuwahamasisha wakapige kura kuikataa ccm?
Kwa nini tunavyama zaidi ya 20 vinavyotafuta madaraka badala ya kuwa na vyama viwili ama vutatu pekee?? Maana pia hiyo inadhofisha umoja wetu wanyonge
Hali kadhalika, Ni nchi gani huko Uarabuni itakayowaleta waarabu wote kwa umoja wao ili waweze kuunganisha nguvu zao kumkabiri Israel?
NATO ya Middle iko wapi
Au siku zote wanyonge hawawezi kuungana kumkabiri mwenye nguvu?