Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
GoodIsrael Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.
Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.
Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.
Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.
View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C
Habari za Knesset zinaletwa na Taqiyya Tv, Mkuu jifunze japo kidogo kuwa mtu makini utapata faida sana kwenye tulizo la moyo wako..Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.
Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.
Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.
Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.
View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C
Hujitambui wewe, Iran moto aliopelekewa nuclear hata itamani tena, mission accomplishedJAMII FORUM IMEPWAYA KWELI, TOKA MYAHUDI KUPATA KIPIGO AMBACHO HAKIKUWAHI KUKIPATA NA WALA KUKITEGEMEA..
JAMANI WANAJF WALE WANAOWAFAGILIA MAYAHUDI, JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI NI MAYAHUDI SIO WAKEISTO? N A JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI WAPO MBALI SANA NA UKRISTO? NA JEE WANAJUA KUWA ASILIMIA YA WAKEISTO ISRAEL NI HATA ASILIMIA MBILI HAWAJAFIKA? MAANA YAKE WAKEISTO HAWATAKIWI UYAHUDINI.
MSIWE MNASHABIKIA TUU NA WALA HAMJUI MNACHOSHABIKIA.
Kamsilize trump huko nato alivokizungumzia kichapo cha Iran hasa siku za mwisho kwenye miji ya israel,yeye mwenyewe aliogopa, itakua ndiyo vile vyuma vipya walivyosema Iran baada ya kusafisha ghala la makombora ya zamaniHujitambui wewe, Iran moto aliopelekewa nuclear hata itamani tena, mission accomplished
Ayatollah anajificha, myahudi anapiga anavyotaka, acha ujinga 😂 and no such thingKamsilize trump huko nato alivokizungumzia kichapo cha Iran hasa siku za mwisho kwenye miji ya israel,yeye mwenyewe aliogopa, itakua ndiyo vile vyuma vipya walivyosema Iran baada ya kusafisha ghala la makombora ya zamani
😆😆😆😆Ayatollah anajificha, myahudi anapiga anavyotaka, acha ujinga 😂 and no such thing
Unamsikiliza kwani wewe hujaona on Tv? the same way Hamas usu to target on civilian area ni stupidity Maeneo yaliyoguswa ya Raia kule Teheran ndio news muda wote television za Iran even now tizama Presstv wamekomalia jengo la tv ya Taifa.Kamsilize trump huko nato alivokizungumzia kichapo cha Iran hasa siku za mwisho kwenye miji ya israel,yeye mwenyewe aliogopa, itakua ndiyo vile vyuma vipya walivyosema Iran baada ya kusafisha ghala la makombora ya zamani
We kenge mimi sinimeweka video sileti kutoka kwanguHabari za Knesset zinaletwa na Taqiyya Tv, Mkuu jifunze japo kidogo kuwa mtu makini utapata faida sana kwenye tulizo la moyo wako..
Achana na Tv news za kingese Iran wahusika wa vita Habari zao za ukweli wanazichukulia televison za Israel kwenyewe na sio news za ujingani. Huwa sielewi habari za kijinga zinasaidia nini kuzisambaza yaani sipati jibu kabisa...We kenge mimi sinimeweka video sileti kutoka kwangu
Kuwa mwelewa mkuu, taqiyya tv ni tv ya propaganda za kiislam mkuu.We kenge mimi sinimeweka video sileti kutoka kwangu
Huyu Ndugu yako kila kifo cha Viongozi wakubwa wa Ayatollah lazima ahusike Kifo cha Mkuu wa Majeshi nae alikuwepo alafu katoka mzima bila hata kidondaIsrael Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.
Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.
Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.
Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.
View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C
We kenge kipi kipya hapo kuhusu Iran? Mimi naongelea ya Knesset we unaleta story za Iran hakuna jipya hapo. Tokea mwanzo Ayatollah Ali Khomen alitoa Fatwa wasitengeneze Nuclear Boom Israel ndio aliye kuwa akizua uwongo hakuna nchi ilio sema Iran anatengeneza Nuclear Boom ni wao tu. Cha ajabu Rising Lion alishia kujitia aibu hakuna target alizo fanikiwa tena kajiandaa miaka 20 kwa kusaidiwa na mabalozi wa nchi za Europe na Ukraine na Wairan wenye asili za kiyahudi alicho fanikiwa ni kuwauwa macommander na namascientist tena wale macommader walikuwa wanajua hakuna vita ndio mjisifie vita vya wizi mnajidai mpo kwenye mazungumzo na wengine wanashambulia ya kushtukizia tu hahaha afu target ilikuwa Kuvunja Nuclear facilities na Viwanda vya Missiles na Regime change 🤣Achana na Tv news za kingese Iran wahusika wa vita Habari zao za ukweli wanazichukulia televison za Israel kwenyewe na sio news za ujingani. Huwa sielewi habari za kijinga zinasaidia nini kuzisambaza yaani sipati jibu kabisa...
View attachment 3383722
View attachment 3383727
Huyu mimi pia roho yangu ina amini kabisa ni spy wa Mossad , lakini Iran wanasema sio hivyo. Hapa niko na wewe najua wewe ni kenge lakini kuna wakati wanasema yes, it is possible for a fool to make a valid point, even if unintentionally or due to a fluke 🤣Huyu Ndugu yako kila kifo cha Viongozi wakubwa wa Ayatollah lazima ahusike Kifo cha Mkuu wa Majeshi nae alikuwepo alafu katoka mzima bila hata kidonda
View: https://www.youtube.com/watch?v=8KKFdwaE0HU
Usicheze na imani ya mtu nyau mkubwa weweJAMII FORUM IMEPWAYA KWELI, TOKA MYAHUDI KUPATA KIPIGO AMBACHO HAKIKUWAHI KUKIPATA NA WALA KUKITEGEMEA..